kushiriki tendo la ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je unapata ugumu gani kushiriki tendo la ndoa na mkeo pindi anapokuwa na mtoto mchanga?

    Habari zenu wakulungwa. Ukiwa kama baba,mara baada ya kupata mtoto na mkeo,ni ugumu gani huwa unaupata kuweza kushiriki tendo la ndoa na mkeo pindi mnapokuwa mnalea mtoto wa miezi 2 hadi miaka 2. Hiki ni kipindi ambacho watoto wachanga wanahitaji muda mwingi sana kuwa na mama zao kiasi kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

    Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana. Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa moyo anaweza kushiriki tendo la ndoa?

    Naweza nisiwe katika jukwaa maalum ila nina maswali ninataka nipate majibu yake. Kwa mgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi na mkewe? Kama ndiyo, ni kwa utaratibu upi? Kama sio, jawabu ni nini ili iwe ndio? Je, pia kuna hatari zozote zile, kama ameshaoa? Anyways, changamoto zao ni zipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…