kushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    Pre GE2025 Dkt. Slaa athibitisha kushiriki maandamano ya CHADEMA jijini Mwanza

    Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa. Taarifa hiyo imetolewa jana Jumanne Februari 13, 2024 na Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia...
  2. Roving Journalist

    Dkt. Shelukindo aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia ya SADC

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State Politics and Diplomacy Committee — ISPDC) ya SADC uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 09 Februari...
  3. Nkaburu

    FIFA⚽ kutangaza Ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026: 🇹🇿Tanzania yahitaji kushinda mechi zote zilizobakia, kushiriki

    Watanzania wenzangu, ngoja nibaeleze. Kutoka kwenye Vyombo vya habari- FIFA itatangaza ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026™ leo Jumapili, tarehe 4, mwezi wa 2 2024 saa Tano usiku. Tangazo hili litaonyeshwa moja kwa moja mubashara kwenye tovuti ya FIFA.com na FIFA+1, na pia...
  4. Erythrocyte

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama chake , yatakayofanyika tarehe 24/01/2024 mapema asubuhi. Akizungumza na vyombo vya habari vya...
  5. Erythrocyte

    Mshikamano: Watanganyika Wajazana Zanzibar kushiriki Sherehe za Mapinduzi Matukufu

    . Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika . Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo...
  6. BARD AI

    Pre GE2025 Dkt. Baruani Mshale: Usiposhiriki uchaguzi utachaguliwa Kiongozi usiyemtaka

    Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia kuchaguliwa kwa Viongozi ambao hawawataki. Amesema "Tuchukulie mfano wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pale...
  7. Roving Journalist

    George Mwakalinga: Wazee na Wazazi wasaidie kuwahamasisha Watoto wao kushiriki shughuli za maendeleo kwa Jamii

    Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Kyela FM iliyopo Mkoani Mbeya, George Mwakalinga ameuomba Umoja wa Wazawa wa Kyela waishio ndani na nje ya Kyela kuwatafuta wazawa wengine ambao bado hawajajiunga ili kuweka umoja wenye nguvu na mshikamano kwa ajili ya kuijenga wilaya yao. Mwakalinga ametoa rai...
  8. uzewela

    Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  9. N

    Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

    Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala nilikuwa sizitilii maanani. Kila nikiingia facebook tu, lazima nikute yeye kanitafuta kwa vijisalamu...
  10. J

    Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  11. Roving Journalist

    JamiiForums kushiriki mjadala wa “ICT for Promoting Digital Security and Data Privacy”, leo Novemba 8, 2023

    Ikiwa ni Siku ya pili (Nov 8) ya Tamasha la Jinsia kutoka TGNP, JamiiForums inashiriki kwenye Mjadala kuhusu 'Ushirikishwaji wa Wanawake na Wasichana katika Usalama wa Kidijitali na Faragha ya Taarifa' Mjadala huu utaangazia namna ya kuongeza Ushiriki wa Wanawake kwenye Nyenzo za Kidijitali...
  12. BARD AI

    Japan: Watanzania 6 kuchuana katika Riadha leo ili kuwania nafasi ya Kushiriki Michezo ya Olimpiki 2023

    Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023. Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
  13. JanguKamaJangu

    Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  14. M

    Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  15. MK254

    Hatimaye Urusi yanyong'onyea na kukubali kushiriki ICC ili kujitetea

    Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea. Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...
  16. Melubo Letema

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay atua Sydney Australia kushiriki mbio za Sydney Marathon Jumapili ijayo

    Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili. Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wanariadha zaidi ya elfu arobaini (40,000) wanaotoka katika nchi 66...
  17. L

    Umwamba wa nchi za Magharibi wazuia nchi za Afrika kushiriki kwa haki kwenye upunguzaji wa utoaji wa kaboni

    Tangu mwaka huu uanze, dunia nzima imeshuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa, na mabadiliko ya tabianchi yamekuwa msukosuko wa kweli. Ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani, utoaji wa kaboni barani Afrika siku zote ni wa kiwango cha chini zaidi duniani, na jumla ya...
  18. Teko Modise

    Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
  19. benzemah

    Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa...
Back
Top Bottom