kushuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Habari ya mchana! Nimeshavurugwa na hii simu yangu. Jamani betri linaisha kama mwanga spidi yake! Yani nikiichaji 100%, nikianza kulitumia, pindi likifikisha 50% heeee spidi yake inaongezeka kama kadongo! Yan ukifumba na kufumbua unakuta lina zero na simu imezima. Jamani. Shida ni simu au...
  3. F

    Je Man U kushuka daraja mwaka huu?

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia. Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
  4. G

    Profesa Jean Messengue wa saikolojia , adai kushuka kwa maadili ya wanawake Afrika , chanzo cha vijana kutokuoa, Asema kufika 2030 ndoa zitakua hazipo

    Kwa mtazamo wake Profesa huyo wa ivory coast akijibu maswali mbalimbali kwenye redio moja amenena hayo, Adai wanawake Kutokua na adabu na kuiga umagharibi ni chanzo cha kuharibu taasisi ya ndoa Afrika. atabiri kufika 2030 ndoa zitakua hazipo na kama zitakuepo ni kwa uchache Sana. Atoa wito kwa...
  5. Msimu huu Manchester united inaenda kushuka daraja

    Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa...
  6. Rais Mwinyi: Kushuka kwa Dola Kutapunguza Bei za Bidhaa

    RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi. Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
  7. Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  8. M

    Kushuka kwa Morari pro Russia na Pro Iran

    Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa miungu Yao Rasia na Iran,Pro Rasia na Iran wamebaki wanatetemeka hawajui hatma ya timu zao,baadhi akili...
  9. Msanii nguli na mzuri anajua wakati wa kushuka stejini.

    Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF. Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge. Pili ni viongozi wa wakuu kukaa madarakani kwa muda mrefu. Tatu ni kuhamahama kwa viongozi waandamizi wa vyama...
  10. Kushuka kwa dolla ni hatari kwa uchumi

    Tunaweza kusema Dolla ya Marekani umeshuka thamani lakini pia Shilingi ya Tanzania imeimarika. Katika hali zote, zipo sababu nyuma yake ambazo zimepelekea hali hii. Katika miezi michache nyuma thank ya Dolla ilikua mpaka Tsh2720 kwa Dola Moja. Imekua ikishuka thamani kwa Kasi sana mpaka hii leo...
  11. Dollar yaanza kushuka kwa kasi

    Baada ya dollar ya Marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muda huu naandika nakala, hii imefikia 2375 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki...
  12. Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  13. Ghorofa laendelea kushuka, zoezi la uokoaji lasimama, mwananchi watawanywa

    Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa. Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
  14. C

    Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

    Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani. Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na...
  15. Ukimkopesha mtu laki tatu kushuka chini wewe tegemea umemsaidia wewe unazani atafanyia nini?

    Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo? Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma...
  16. Nani anamfadhili Luhaga Mpina? aweka mawakili 100 kupambana na CCM na serikali, haipungui bilioni moja. Anapinga sukari kushuka kutoka 5000 mpaka 2300

    Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?. Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei...
  17. Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa

    Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
  18. Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  19. Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  20. M

    Mazda CX5 ya mwaka2014 kushuka chini ndo budget yangu

    Wakuu mfuko wangu unaniruhusu kununua Mazda CX5 yakuanzia mwaka 2014 kushuka chini...msaada wenu nichukue ya specification zipi kuanzia engine,rangi nakila kitu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…