Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City.
Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule bondeni, kwa wanaoshuka daraja.
Tayari, Southampton ameshashuka daraja, bado timu mbili za kuungana...
🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia
(VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani)
Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇
VENUE (mazingira...
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
Picha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja.
Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha...
Ilikua hivi 👇
1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days.
sasa ni 👇
MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/=
Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
Ila kwa...
Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula.
Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir.
Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi
Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki,
Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema?
Nikamwambia tena nishushe...
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
==========================
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za ukomo wa mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa huku bei ya bidhaa hizo ikipungua ikilinganishwa na mwezi Machi.
Italeta ahueni ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...
Wakati Ligi Kuu ya Uingereza inaanza tena mwishoni mwa wiki hii, vita ya kuepuka kushuka daraja inageuka kuwa kama filamu ya kusisimua, huku pointi nne pekee zikiwatofautisha timu tisa za chini. Timu sita kati yao zimebadilisha makocha ili kuepuka janga la kushuka daraja ambalo linaweza...
Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.
Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
Idadi hiyo sawa na 14.72% ya waliofanya Mtihani Nov 2022, watalazimika kukariri Masomo ya Kidato cha 2 kutokana na kufanya vibaya kwenye Mtihani wa Upimaji na kupata Daraja 0 (#Division0)
Pia, Wanafunzi 372,113 (58.74%) licha ya kufaulu, wamevuka Darasa kwa kupata kiwango cha chini ambacho ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.