Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.
Ni chereko na vifijo.
Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri...
Peace be upon ya' all,
Hili swala limezua mjadala wa mda mrefu sana baina ya madaktari wao kwa wao wakivutana kwa hoja kuntu kabisa.
Je ni kweli UKIMWI hausababishwi na HIV kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga?
Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4.
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
Wafuatao ni wasanii kumi ambao hawajawahi kuwa namba moja kwenye muziki lakini pia hawajawahi kupotea kabisa kwenye muziki yaani kwenye mpira tunaweza kuwafananisha na Kagera Sugar FC. Kama mjuavyo huwa Kagera haichukui kombe lakini pia haishuki daraja.
1. Ambwene Yesaya (AY)
2. MwanaFA
3...
MARKET EXTRA
Russian stocks sunk to levels not seen since 2017 on Monday, weighed by a global market selloff, threats of more sanctions and signs of continued unrest after last week’s partial mobilization.
MSN
Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.
Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza.
Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta...
Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%.
Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye...
Mambo yanazidi kumuendea kombo bondia Hassan Mwakinyo baada ya kuporomka kwa mara nyingine kwenye ubora.
Wiki iliyopita bondia huyo namba moja nchini aliporomoka kwa nafasi 16, kutoka ya 17 hadi 33 duniani kwenye uzani wake wa super welter.
Jana ameporomoka tena kwa nafasi mbili hadi nafasi ya...
Baada ya bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli kushuka, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema hawana mpango wa kushusha nauli kwa sababu uendeshwaji wa vyombo vya usafiri hautegemei gharama za mafuta pekee.
Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard Ngewe amesema gharama za mafuta...
Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imesema moja ya mambo yaliyosababisha shule inazozimiliki kushuka kitaaluma na baadhi yake kuwa katika hatari ya kufungwa, ni ubadhirifu uliofanywva na baadhi ya viongozi wasiokuwa waaminifu.
Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Gilbert Kalima amebainisha...
Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi.
Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
DEFLATION
Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka.
Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki.
Chanzo cha kushuka kwa bei.
1.Economies of scale.
Kampuni ikiweza kuzalisha bidhaa nyingi na...
Habari wana JF..
katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa.
Kwanini????
TUKIANZA NA MUZIKI,
Baada...
kwakweli hili suala linafikirisha sana. Marekani high school alama F inaanzia 59 kushuka ambayo huku ni C ya kibabe sana. Huku F inaanzia 29, yaani mtu akipata 30 kafaulu. hata logic inakataa, mtu aliyepata chini ya nusu anakuwaje kapata!!? Nafikiri ubora wa wasomi wetu unaanzia hapa.
Ripoti ya kila mwaka ya Faharasi ya demokrasia iliyopishwa na shirika la Economist imeonyesha kuwa demokrasia iliendelea kushuka katika mwaka wa 2021.
Ripoti hiyo imesema kuwa kwa mwaka uliopita asilimia 45.7 ya watu ulimwenguni waliishi katika aina fulani ya demokrasia, ikiwa ni kiasi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.