Wengi wetu hatuna ufahamu kuhusu kama Twiga anatoa Sauti au lah na hii ni kutokana na kuwa Twiga ni mnyama anayejulikana kwa kuwa kimya sana, lakini anaweza kutoa sauti chache zisizojulikana sana kwa wengi. Kwa ujumla, twiga huwasiliana kwa kutumia sauti za chini sana (infrasound) ambazo...