Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori.
Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha...
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia...
Kwema!
Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi;
Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
Nyeregenge ni kijiji kinachopatikana Musoma vijijini mkoani Mara.
Kijiji hiki hakina shule, hakikuwa na msikiti wala kanisa, na kimepata kanisa lake la kwanza miaka ya hivi karibuni, 2017 ambapo Wakatoliki wamejenga kanisa.
Kijiji hiki kina watu waliobobea kwenye mila na tamaduni ambapo hadi...
Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi?
Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single .
Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim .
Je. wewe unaweza tishia?
Kuelekea Siku ya Usikivu Duniani (Machi 03, 2022), Shirika la Afya (WHO) limesema zaidi ya Watu Bilioni Moja ulimwenguni kote wapo katika hatari ya kupoteza uwezo wa kusikia kutokana na mazoea ya kusikiliza muziki kwa sauti kubwa, na kwa muda mrefu.
Imeelezwa kuwa, kupoteza usikivu kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.