kusikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nsanzagee

    Kero anazozitaka kusikia Rais Samia, zianzie hapahapa!

    1. Nani aliyewajibishwa na ile ripoti ya CAG 2022/2023? Hii ni kero kubwa sana kwangu, kwa sababu haiwezekani kuwepo na ofsi ya mkaguzi wa mahesabu ya serikali, anayelipwa kupitia kodi za Watanzania walalahai, ili hali kazi yake inakuja kuwekwa tu kwenye makabati ya...
  2. G

    Baada ya kusikia vitu kama mchanga unamwaga batini usiku wa manane nimetoka nje kuangalia ila sioni kitu, nini tatizo?

    Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu, tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati. Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama...
  3. JamiiCheck

    Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  4. sinza pazuri

    Nani anatamani kusikia Darasa na Zuchu kwenye wimbo mmoja?

    Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana. Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha nchi.
  5. G

    Nataka nirudi shule nikiwa na 36 kwa kusikia Marekani Waafrika waliosoma wanapewa ajira kiupendeleo na mishahara ni mirefu, nijilipue?

    Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni wa kutukuza uhalifu, shortcuts, victim mentality, n.k. wengi wanaishia kuona ujanja ni kujiunga...
  6. GENTAMYCINE

    Nina hamu sana ya kusikia kuna mabadiliko madogo/makubwa ya Baraza la Mawaziri, Ma RC's na DC's kuanzia sasa

    Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor) Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
  7. Mchochezi

    Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
  8. Ngurukia

    Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

    Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake. Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake. Alichosema Jenerali Ulimwengu "Mimi inanichosha kusikia sifa za rais kila dakika. Rais ni mtu mwema nadhani. Lakini...
  9. B

    Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

    Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba. U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko...
  10. AccomplishedEntrepreneur

    Alarm clock kwa ajili ya mtu mwenye ulemavu wa kusikia

    Ndugu na dada, Naomba kuuliza kama alarm za hivyo zipo hapa bongo au ni mpaka kuagiza nje. Kama zipo naomba kuelekezwa namna ya kuzipata and the price. Yeyote anayezifahamu kindly share. Sio lazima iwe specific kwa mtu asiyesikia ila necessarily ya kuweza kumstua kwa vibration ya kutosha or...
  11. W

    Ukiacha kusikia sauti za watu wengi zikikupigia kelele za mwizi huku zikikujia na hatimaye ukakimbia, kituko gani kingine bangi imewahi kukufanyia?

    Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
  12. SAYVILLE

    Kwa mpira wa jana wa Tanzania sitaki kusikia tena dhihaka kwa Simba na story za papatupapatu

    Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria. Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
  13. Jafari Haruna

    Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli. Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii ! Kuna kitu kinaitwa  KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa...
  14. mdukuzi

    Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi, Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self. Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Furaha ya maskini ni kusikia tajiri kapata matatizo na si kuona umaskini unaondoka katika maisha yake.

    Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya. Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu. Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
  16. GENTAMYCINE

    CEO wa Simba SC kwa sasa tunataka tu kusikia 'Vyuma Vipya' vikitua Msimbazi na si 'Maupuuzi' yenu mengine sawa?

    Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili kutupa Raha katika Mashindano yote yajayo kwa Kubeba kila Kombe litakalokuja mbele yetu.
  17. C

    Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

    Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia. Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera ila hamtu ambiagi kwenye mahusiano.
  18. Lycaon pictus

    Sijawahi kusikia hotuba yenye nguvu kama hii aliyotoa Malcom X

    Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii. Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
  19. Teko Modise

    Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

    Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini. Wewe ulisikia ipi?
  20. Suley2019

    Asanteni kwa kusikia kilio chetu cha foleni Mwenge asubuhi. Jioni pia ruhusuni magari kwa usawa pande zote

    Ndugu zangu kwema? Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote. Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge Pamoja na...
Back
Top Bottom