Jana katika pitapita zangu mitaani ,nikakutana na pisi moja ya 2000, nikatia neno ,nikakubaliwa, ila nikapewa masharti ya vitu vya kuandaa siku ya kuonana ,namaanisha fedha. Katika kutajiwa nikatajiwa dau kubwa ,nilipomwomba kunipunguzia, akaniambia na baadhi ya hudumu ataziondoa. Nikamwambia...