kusimamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alagwa

    Waganga wafawidhi kusimamia majukumu Yao Wilaya ya Meru

    Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya utekelezaji Robo ya pili ya Mwaka 2024-2025. Aidha Dkt. Chiweka katika kikao hiko amewataka Waganga...
  2. M

    Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  3. BENEDICT ISEME

    Pharmacist mwenye leseni anahitajika kusimamia Phamarcy

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY: NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  4. T

    Pre GE2025 Mawakili wa Samia Legal Aid kusimamia kesi za wananchi mahakamani

    Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
  5. T

    Pre GE2025 Mama Maria Nyerere aitaka CCM kusimamia ipasavyo Serikali

    Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia Serikali zake zote mbili ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uwezo wa kujitegemea, hasa katika kujilisha. Mama Maria ameyasema hayo...
  6. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
  7. Ojuolegbha

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo. Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
  8. The mission 2017

    Uzi wa kutoa Maoni Juu ya Taasisi Zilizoshindwa kusimamia Misingi ya kuundwa kwake hivo unatamani zifutwe.

    Habari wana bodi. Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz. Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya kuanzishwa kwake hivyo ni sawa na hakuna. Uzi huu ni wa kupendekeza hizo taasisi, Na kupendekeza zifutwe au...
  9. Mindyou

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa alipongeza Jeshi La Polisi kwa "kusimamia" vizuri mkutano wa CCM na Uchaguzi wa CHADEMA

    Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema uliofanyika jijini Dar es Salaam. Bashungwa amesema hayo leo Januari 22, 2025 wakati alipofanya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Polisi Kuendelea Kusimamia Usalama Shughuli za Vyama vya Siasa Bila Kujali Itikadi: Bashungwa

    POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI: BASHUNGWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa...
  11. A

    KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  12. A

    KERO Mamlaka za Serikali za Mitaa Chanika (Dar) zimeshindwa kusimamia ukusanyaji taka katika mitaa ya Gogo, Bondeni na Polisi

    Kwa takribani miezi mitano, Mzabuni aliyechukua tenda ya Ukusanyaji taka katika Mitaa ya Chanika ya Gogo, Bondeni na Polisi wameshindwa jukumu hilo, hakuna taarifa rasmi au maelezo kutoka Serikali za Mtaa kuhusiana na jambo hili! Mzabuni huyu alijisifu sana kipindi alipokuwa akichukua tenda hii...
  13. Li ngunda ngali

    Tetesi: Kibatala kujitoa kusimamia kesi zihusuzo CHADEMA

    Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa. "....Kibatala anafikiria...
  14. M

    Contract and case Management System-Mfumo wa kusimamia mikataba na kesi

    Habari wote, kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer. Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi. Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba mingi ambayo ina expiry date,basi hiii itakusaidia kuweka kumbukumbuku zote za mikataba,ukiweza pia...
  15. A

    DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  16. Mpigania uhuru wa pili

    Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

    Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut Mfano TRC wanataka kununua engine za...
  17. Stephano Mgendanyi

    Faris Buruhani Awaasa Wahitimu Kidato cha Nne Kusimamia Ndoto Zao

    Jumla ya wanafunzi 134 wavulana 72 na wasichana 62 wamehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari katoro day huku wakitakiwa kusimamia ndoto zao, ili kukabiliana na changamoto za maisha, jamii, familia na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa...
  18. ommytk

    Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

    Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express. Tanzania bado sana aiseee Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
  19. Mtoa Taarifa

    Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

    Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini US President-elect...
  20. Mzee wa kusawazisha

    Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
Back
Top Bottom