Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Tamko hilo amelitoa wakati akifunguwa mkutano mkuu wa mwaka chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar na...
Baadhi ya Wakazi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepewa elimu juu ya umuhimu wa marekebisho ya Katiba iliyopo sasa.
Wakufunzi katika mafunzo hayo Mwl. Deus Kibamba ambaye ni Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Dkt. Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA na Mwenyekiti wa...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
Preamble: Binafsi naamini Free market na Competition ndio inaleta Huduma Bora na Bei rahisi kutokana na kwamba watu wanashindana kugombania wateja. Ingawa kuna mambo ya Huduma naamini kabisa Serikali / State ni muhimu kujikita kinagaubaga.., Mengine yote luxurious hatuna haja ya kuweka Kodi zetu...
Unapokwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hapaswi kutaja chama chako cha siasa na huu sio wakati wa kampeni.
Ni makosa makubwa kwa vyama vya siasa kuwa wasimamizi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura. Kwenye daftari la wapiga kura hatuandikishi CCM, CHADEMA, etc bali...
Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa
MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita
Mungu ibariki Israel
=========
IDF says it killed head of elite Hezbollah anti-tank missile array...
Nimekula chumvi nyingi hivyo najua mihemko ya Taasisi ya Rais, imekuwa ni utaratibu wa tawala zetu hapa nchini kuja na mihemko na kutoa ahadi nyingi ili kuongeza mapambo katika sanaa za siasa.
Nakuja na mapendekezo yafuatayo ili kuepuka majoto:
1. Ni wakati sasa ianzishwe taasisi ya House of...
Ndugu wanajamvi!
Pokeeni salamu zangu
Juzi nilikuwa mkoa wa.mwanza tena center kwenye kijiwe flani.
Nikawa namsikia mtendaji mmoja anaongea na mtendaji mwenzake
Kwamba wamepewa barua za usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mtaa.
Mwenzake akasema yeye hajateuliwa kisimamia uchaguazi...
Infact,
Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
binafsi
dhidi
habari
hongera
katika
kazi
kisiasa
kukataa
kusimama
kusimamia
majukumu
matakwa
misingi
na vyombo
nchini
nia
vyombo
vyombo vya habari
waandishi
waandishi wa habari
wenye
Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako? Invoice management System inakupa uwezo wa kutengeneza na kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unapatikana kwa desktop na simu, hivyo unaweza kutumia popote ulipo.
Sifa za Nina System:
Invoice...
Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi.
Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi.
Nyumba za wageni...
1. Mwenyekiti kwa niaba ya wanachama wote tunakusihi ni busara kujiuzulu uongozi kwenye Chama umeshindwa kuongoza chama kwa yanayotokea.
2. Uchaguzi Mkuu ujao 2025 tutaangukia pua tena kama 2020 (Kura kiduchu, Mbunge mmoja, aibu hii tunaipeleka wapi?).
3. Tumia Busara jiuzulu, lopolopo akaimu...
Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?
Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu.
Pia soma: Rais Samia Aagiza...
BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itahakikisha inasimamia...
Wengi tumekua tukielewa kuna mihimili 3 tu, BUNGE, SERIKALI, MAHAKAMA. hivi majuzi waandishi wa habari nao walijinasibu kwamba "UANDISHI WA HABARI" ni mhimili muhimu usio rasmi. ila kwa sasa, hakuna ubishi kwamba, kuna mhimili mpya unaoitwa "WANAHARAKATI", ambao unaisimamia serikali na kuikosoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.