kusini pemba

  1. Mkalukungone mwamba

    Pemba: Polisi wachunguza vifo vya watu wawili waliofariki dunia wakipatiwa matibabu hospitali ya Ali Khamis Camp

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba linafanya uchunguzi wa vifo vya watu wawili ambao walifariki dunia wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Ali Khamis Camp Vitongoji Chake Chake Pemba. Watu hao ni: Othman Hamad Othman miaka 75 mshirazí na mkazi wa Kimango-Kiungoni Wilaya ya Wete...
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kusini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake. Mkoa una wilaya mbili tu, ambazo ni Mkoani na Chake Chake Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022 idadi...
Back
Top Bottom