Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kusini Pemba, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Kusini Pemba una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (9) ambayo ni:

- Chake Chake - Nassor Said Nassor Maroo (CCM)
- Wawi - Khamis Kassim Ali (CCM)
- Ole - Saidi Salim Hamad (CCM)
- Chonga - Khamis Hamad Yussuf Matale (CCM)
- Ziwani - Ahmed Juma Ngwali (CCM)
- Chambani - Abrahman Mwinyi Mohamed (CCM)
- Kiwani - Hija Hassan Hija (CCM)
- Mtambile - Mohammed Ibrahim Mzimba (ACT Wazalendo)
- Mkoani - Makame Mnyaa Mbarawa (CCM)