Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.
Habari wana jamvi.
Nina wiki apa Nachingwea mkoa wa Lindi lakini ni kama tunaishi Gizani umeme unakatika kila siku tena kwa masaa 10 na zaidi.
Ila Wenyeji wanasema ni kawaida na wameshazoea.
Mfano jana umeme umekatika saa 9 mchana umerudi leo saa 5 Asubuhi.
Kwetu Kaskazini huu ujinga sijawahi...
Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:
1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani
2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe
3. Tokea "Wazulu" washike hatamu...
Liliacha vijana waendelee kujifia, ila sasa wengi wanajisalimisha tena wakivuliwa nguo na kubaki uchi...
Hamas's leader in the Gaza Strip Yahya Sinwar speaks during a meeting in Gaza City, on April 30, 2022. (Mahmud Hams/AFP)
Hamas leader Yahya Sinwar fled northern Gaza at the beginning of the...
Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.
Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au...
Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg.
Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
Inashangaza sana kuwa binadamu sasa wamekuwa na roho za kinyama sana kwa sababu wanyama ndio ambao mwenzao akiliwa wanakuwa na msaada mdogo sana japokuwa kwa umoja wao wangeamua wangeweza kumuokoa.
Kinachotokea Gaza kinalingana sana na unyama.Kiwango cha vifo vya wapalestina na kujeruhiwa ni...
Mashtaka 9 ya Jinai yakiwepo mawili ambayo Washtakiwa walikutwa na Hatia yalifunguliwa kwa ajili ya kupambana na Ufisadi ikiwa ni baada ya Rais Ramaphosa kuwasilisha Mapendekezo Bungeni. Mashtaka hayo yamehusisha Watu 47 na Kampuni 21
Oktoba 2022, Rais Ramaphosa aliwasilisha Bungeni Mapendekezo...
Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao.
Jeshi la Israel lilisema watu hao hawatakiwi kuvuka barabara kuu ya Salahudin inayoigawa Gaza ya kusini na ya...
Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.
Africa ujanja ujanja kila sehemu
Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023.
Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani.
Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
Hapo jana wanamgambo wa Houth wa Yemen kwa mara nyengine walifanya mashambulizi ya kuvizia kusini mwa Israel kwenye mji wa bandari wa Eliat.
Tofauti na mashambulio ya awali ambayo yaliweza kusitishwa angani moja na israel yenyewe na jengine na kibaraka wao Saudia.Shambulio la hapo jana lilifika...
Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza.
Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na Neymar jr raia wa Brazil.
Lakini kwa wenyeji wa mchezo huu, ambao tulianza kuufuatilia mchezo wa...
AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kufufua Uwanja wa Ndege wa Iringa na kuujenga kwa kiwango cha Kisasa...
Kwa kipindi hiki cha Biden, kumekuwa kuna ongezeko kubwa la kihistoria la wahamiaji waonajaribu na wengine wengi kufanikiwa kuingia USA.
Kwa uchunguzi wa hivi karibuni wamegundua kuwa makundi ya uharifu na nchi nyingine wanatumia fursa hii kuzamisha waharifu, magaidi na majasusi.
Wasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine...
Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
Tanzania huwa haina utaratibu wa kuachia nyaraka za siri zinapofikia umri wa kueksipaya (Declassified)
Kuna mtu mmoja kutoka serikali ya Uingereza alinisimulia kashfa kubwa ambayo ingegharimu sana reputation ya Malkia wa Uingereza. Jambo lenyewe lipo hivi.
Baada ya Vita ya Pili ya dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.