Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.
Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake.
Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
Waziri wa Mambo ya nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor amesema kuwa raia wa taifa hilo wanaopigania Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) huko Gaza watakamatwa watakaporejea nchini humo, shirika la habari la AP linaripoti.
“Tayari nimeshatoa taarifa ya kuwatahadharisha wale ambao ni wa Afrika Kusini...
Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la Afrika kwa jumla.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Candith...
Bi Naledi Pandor, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini ameshangazwa na matumizi ya maneno pekee kutaka misaada ifikishwe Gaza bila vitendo huku watu wakidondoka mitaani kwa njaa.
Amesema wale wale wanaipa Israel silaha iendeleze maangamizi ya Wapalestina kama hawana...
Watu sita wanashikiliwa na Vyombo vya Usalama wakituhumiwa kuhusika na vifo vya Kiernan Forbes maarufu kwa jina la AKA pamoja na rafiki yake, Tebello "Tibz" Motshoane waliopoteza maisha kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa Jijini Durban, Februari 10, 2023.
Polisi wamesema watuhumiwa walilipwa ili...
AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi.
Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala...
Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ...
Kikosi cha Wanajeshi wa Afrika Kusini kilichopo DR Congo kimepata pigo la kwanza kwa kupoteza Wanajeshi wawili na wengine Watatu kujeruhiwa baada ya bomu kutua katika kambi yao.
Kikosi hicho ambacho kilipelekwa DRC, hivi karibuni kusaidia kulinda amani kupitia mgongo wa Jumuiya ya Maendeleo ya...
Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake.
Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna...
Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawashukuru kwa dhati watu wote waliotusaidia kuwapata ndugu wa Bw.Karim, Mtanzania mwenzetu mwenye matatizo ya akili hivi sasa, ambaye aliondoka nchini Tanzania mwaka 1998 kwa ajili kuja Afrika Kusini (Bondeni), kutafuta fursa za Kimaisha...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.
Lakini leo zao la korosho kwao limekuwa mwiba mchungu hasa kwa wakulima hawa,80% ya mikoa hiyo ni wakulima hasa wa korosho na ndiyo...
Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi.
Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha Ivory Coast ataweka mfukoni $82,000 (£65,000) zaidi ya shilingi milioni mia mbili za kitanzania na...
Afrika Kusini itatuma wanajeshi 2,900, kama sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinachotarajiwa kukabiliana na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ofisi ya rais Cyril Ramaphosa, ilisema katika taarifa yake...
SALAAM wanajukwaa,
Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka.
Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc.
Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké
Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri
Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea
Nigeria ilianza kwa kupata goli lake kupitia kwa bei wa kati William Paul Troost-Ekong anayeichezea Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa...
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni.
Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.