Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023.
Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...