kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    Kamala Harris atembelea Korea Kusini, Korea Kaskazini walipua makombora baharini

    Kama ilivyokua kwa Pelosi kuitembelea Taiwan ambapo Wachina walijibu kwa kupiga bahari kwa makombora, ndivyo imekua kwa Korea Kaskazini kuonea bahari kwa kuipiga kwa makombora kisa makamu wa rais wa USA ametembelea Korea Kusini. ======= US vice president Kamala Harris arrived South Korea a...
  2. BARD AI

    TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

    Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji. Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
  3. Suley2019

    Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  4. L

    Wakulima wa nyanda za juu kusini wanasema Mama ametufikia na kutujaza matumaini, wanauliza nani hajafikiwa na mama?

    Ndugu zangu huo ndio msemo mpya ulioibuka huku mtaani kwa kundi kubwa la wakulima ambao kwao kilimo ndio pumzi yao, wanasema hakika Mh. Rais Samia amewafikia kwa wakati na kuwajaza matumaini katika mioyo yao. Hii imetokana na kuwasili kwa wakati kwa mbolea za ruzuku zinazouzwa kwa bei elekezi...
  5. Mbaga Lazaro

    Tanzania yapongezwa kwa kudumisha usalama katika mpaka wa kusini

    Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mehmet Gulluoglu amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Waasi wanaohusishwa na Islamic State wamefanya mashambulizi tangu Oktoba 2017...
  6. BigTall

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wafariki Dunia wakiwa mazoezini Sudan Kusini

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
  7. JanguKamaJangu

    Rais wa Afrika Kusini, Ramaphosa ahojiwa na wabunge kuhusu wizi wa fedha kwenye shamba lake

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
  8. Championship

    Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

    Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa: 1. Messi 2. Pele 3. Maradona 4. Ronaldinho 5. De Stefano 6. De Lima 7. Zico 8. Garrincha 9.Romario 10. Socrates
  9. BARD AI

    Afrika Kusini: Washirika wengine wa Jacob Zuma wakamatwa kwa Ufisadi

    Waendesha wamewakamata Watendaji wa zamani kutoka kampuni ya Usafirishaji ya Umma ya Transnet ambayo inachunguzwa juu ya kuhusika na ufisadi wakati Jacob Zuma akiwa Rais. Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka (NPA) imesema Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Transnet, Brian Molefe na Mkurugenzi wa Fedha...
  10. BARD AI

    Afrika Kusini: Maandamano ya kupinga gharama za maisha yashika kasi

    Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009. Maelfu ya wafanyakazi waliingia mitaani katika majimbo yote tisa kudai ruzuku ya msingi ya mapato, kima cha...
  11. BARD AI

    Uhalifu wa Mauaji wafikia 11.5 Afrika Kusini

    Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Polisi nchini humo, Bheki Cele imeonesha kuwa mauaji yaliongezeka kwa 11.5% katika robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2022/2023 kupitia takwimu za uhalifu. Cele amesema watu 6,424 wakiwemo Askari 18 waliuawa katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ambayo ni ongezeko...
  12. Lady Whistledown

    Ripoti: Sudan Kusini Kinara wa Nchi zenye mazingira hatarishi kwa Watoa misaada Duniani

    Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa Misaada kuuawa wakiwa kazini Ndani ya Mwaka 2022 pekee Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya...
  13. S

    Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

    North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
  14. Diversity

    KWELI Baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

    Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi Machi 2023. Nchi zetu hususan Tanzania...
  15. ward41

    Baadhi ya Brand kubwa za Korea Kusini

    Haya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe. KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba. Kumbuka haya mataifa yalikuwa maskini sana miaka ya 1950s. Lakini sasahivi ni kama mbingu na ardhi...
  16. Ben74

    Jicho langu katika ziara ya Rais Nyanda za Juu Kusini

  17. masopakyindi

    Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

    Rais Samia akiwa Iringa Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi. Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela. Marais...
  18. Lady Whistledown

    Zaidi ya Tai 100 wafa kwa kudaiwa kula mzoga wenye sumu Afrika Kusini

    Walinzi waliokuwa kwenye doria katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Kruger, wameripoti kugundua mzoga wa nyati, ambaye alionekana kuwekewa sumu, baada ya hapo walikuta Tai 100 na Fisi mmoja waliokufa kwa kuhisiwa kula mzoga huo Tai wengine 20 waligunduliwa katika eneo la tukio wakiwa katika hali...
  19. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: 14 watuhumiwa kuwabaka wadada wanamitindo wakati wakirekodi video ya muziki

    Wanaume 14 wamefunguliwa mashtaka ya kuwabaka wanawake wanane baada ya kuwavamia wakati wakirekodi video ya muziki katika mgodi uliotelekezwa Johannesburg Nchini Afrika Kusini Mtuhumiwa mdogo zaidi katika kundi la wahalifu ana umri wa miaka 16 ambapo amepelekwa kituo cha watoto kuhukumiwa...
  20. L

    Dhoruba yaikumba Kusini mwa Italia

    Agosti 9, 2022, dhoruba iliikumba pwani ya Calabria ya Italia kwenye Bahari ya Ionian, huku radi zikipiga.
Back
Top Bottom