kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Rally Bwalya atambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini

    “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini. Timu hiyo...
  2. Lady Whistledown

    Watu 87 hawajulikani walipo baada ya Mafuriko ya Mwezi Aprili nchini Afrika Kusini

    Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
  3. Suley2019

    TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

    Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili. Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo...
  4. J

    Shaka awanyosha CHADEMA Kusini Maelfu ya Kadi, Bendera na nguo akabidhiwa kumrudisha Mbowe

    Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi...
  5. and 300

    Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  6. L

    Mjumbe wa China ailaumu Marekani kwa kushindwa ikiwa kama kiongozi anayeshughulikia vikwazo vya Sudan Kusini

    Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun jana aliilaumu Marekani kwa kushindwa kutimiza wajibu wake ikiwa kama kiongozi wa Baraza la Usalama anayeshughulikia vikwazo vya Sudan Kusini. Wajibu wa kiongozi anayeshughulikia vikwazo ni kusaidia Baraza la Usalama kutoa azimio...
  7. MK254

    Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

    Yaani tu yaani...
  8. JanguKamaJangu

    Mafuriko yafanya uharibifu mkubwa Afrika Kusini

    Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao. Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea...
  9. Tony254

    Mfahamu Mkenya aliyeiwezesha uchaguzi wa Afrika Kusini wa 1994 kufanyika

    Kuna watu wanaopenda kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika. Mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa 1994 kufanyika. Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa watu wa kabila la Zulu alikuwa amekataa kushiriki...
  10. Christopher Wallace

    Wachezaji wa Kusini mwa Africa waliowahi kucheza soka Tanzania

    Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
  11. Lady Whistledown

    Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  12. JanguKamaJangu

    Waandishi wa habari Sudan Kusini walia kukosa uhuru

    Waandishi wa habari wa Sudan na Sudan Kusini wameeleza kuwa wanakabiliwa na vitisho, ukandamizwaji na ukamataji holela hali ambayo inaondoa uhuru wa utendaji kazi wao. Inadaiwa kati ya Januari na Machi 2022, maafisa wa usalama waliondoa makala kadhaa katika Gazeti la Juba Monitor, ambalo...
  13. S

    Rais watu wa Kusini mwa Tanzania utawatembelea lini?

    Nasema hivyo kwa sababu! Rais wetu kashafanya ziara ndani ya nchi yetu hususani kwenye mikoa ile ile mara mbili au tatu lakini hatujaona ikifanya hivyo kusini mwa nchi! Mfano Rais wetu katembelea mara tatu mwanza na geita pia kwa kanda ya ziwa! Pia Arusha na Kilimanjaro katembela nako sio...
  14. Lady Whistledown

    #COVID19 WHO yasema visa vya maambukizi vya Covid-19 vyaongezeka Afrika Kusini

    Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
  15. britanicca

    Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  16. JanguKamaJangu

    Waziri Mchengerwa awahakikishia usalama wachezaji, mashabiki wa Simba wakiwa Afrika Kusini

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa amewatoa hofu mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Afrika Kusini kuishangilia Timu ya Simba katika mchezo wa raundi ya pili robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kuwa watakuwa salama. Waziri Mchengerwa...
  17. NairobiWalker

    Wanapenda kusema ooh, Afrika Kusini ndugu zetu. Wasikie 'Wasauzi' wenyewe

    While they bootlick South Africans claiming they are their brothers and they helped them get independence, here is what South Africans feel. I always tell my Tanzanian brothers, a perceived favor cannot grant you friendship to someone. I don't see them mentioning Tanzanians. 🤣 🤣
  18. M

    ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
  19. JanguKamaJangu

    Hassan Dilunga aenda Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu

    Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Hassan Dilunga ameondoka Nchini Tanzania kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kupata matibabu ya majeraha yanayomkabili kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika Klabu ya Simba, imeeleza kuwa nyota huyo ambaye aliwahi kuitumikia Yanga, ameondoka...
  20. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko yafikia 306

    Mamlaka za Mji wa Durban zinasema takriban watu 306 wamepoteza maisha katika mafuriko, huku zikionya kuwa watu wengi zaidi bado wanahofiwa kupotea Mvua zilizonyesha kwa siku kadhaa zimesababisha maporomoko ya udongo na kusomba makazi ya watu. Idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka wakati...
Back
Top Bottom