kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

    Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda ! Mashart kama vile 1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
  2. Analogia Malenga

    #COVID19 Maambukizi Afrika Kusini yameongezeka maradufu. Visa 8,500 vyarekodiwa ndani ya saa 24

    Afrika Kusini imerekodi ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameongezeka maradufu kote nchini humo tangu Jumatatu. Maafisa wa afya wanasema aina mpya ya Omicron iliyogunduliwa inaweza kuwa inachochea kuongezeka, ingawa haijulikani wazi ni watu wangapi kati ya wenye...
  3. Miss Zomboko

    #COVID19 Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe

    Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.
  4. Sam Gidori

    #COVID19 Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  5. B

    #COVID19 Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

    Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki. "Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama." "Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini. Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
  6. Sam Gidori

    #COVID19 Aina mpya, hatari zaidi, ya Kirusi cha Corona yagunduliwa Afrika Kusini

    Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika. Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko nchini Afrika Kusini, Prof. Tulio de Oliveira amesema kuwa kirusi hicho kipya kina zaidi ya...
  7. Ileje

    Makamba usipotoshe Nyanda za Juu Kusini hakuna ukame

    Jana katika ziara ya Makamba alipotembelea mabwawa ya kuzalisha umeme alitoa taarifa akitaka kuaminisha umma kuwa tatizo la upungufu wa umeme nchini na kwa sababu ya ukame! Hii si kweli hata kidogo. Kwa macho yake mwenyewe ameona bwawa la Mtera lina maji ya kutosha, na kwa kuthibitisha hilo...
  8. ndege JOHN

    Wanawake wa Kusini wanaokunywa gongo hawajadhoofika

    Wakuu, maisha ya Kijijini na mjini kweli ni tofauti kuanzia lifestyle mpaka nguvu za mwili. Nipo huku Kanda ya Kusini pombe kuu ni mnazi au tembo kwa wale wa mwambao na pia gongo au pacho inayotengenezwa kwa Mabibo. Kinachonishangaza ni jinsi wakina mama wa masasi wanavyokunywa gongo aisee...
  9. MK254

    Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
  10. las Casas

    Uchaguzi Afrika Kusini 2021

    Kesho Afrika kusini itafanya uchaguzi wa serikali za mitaa(LGE). Ushindani mkubwa ni kati ya ANC, DA na EFF . Licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali Kama madini nchi hii ya bondeni mwa Afrika imekumbwa na wimbi kubwa la. *Ukosefu wa ajira *Umaskini *...
  11. MK254

    Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

    Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe ====== Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer. The announcement was made by Safaricom...
  12. Miki123

    Marekani na Korea kusini wamepagawa baada ya kuona Submarine Nuclear ya Korea Kaskazini

    Dunia ina double standard sana. Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi. Mpaka sasa ni nchi kama Saba zinazoweza kuunda Aina hii ya nyuklia. USA haikufahamu kuwa Korea Kaskazini ina uwezo...
  13. Analogia Malenga

    Fedha za CWT zilitumika kuangalia mpira Cape Verde

    Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018. Manyalika alieleza hayo...
  14. Miss Zomboko

    Korea Kusini yapiga marufuku ulaji wa Mbwa

    Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo. Rais Moon ambaye ni Moja ya watu wanaopenda ufugaji wa mbwa amesema upigaji marufuku wa ulaji wa mbwa ni njia mojawapo itakayosaidia kulinda wanyama hao wasiteketee zaidi...
  15. Lord denning

    Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  16. N

    Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

    Nazungumzia Lindi na Mtwara haswa! 1. Kule husikii albino amechinjwa 2. Kule husikii wenye macho mekundu wameuawa kisa ni wachawi, 3. Kule husikii wenye upanja wamepigwa nondo ili zikatumike buchani 4. Kule husikii mtu amechunwa ngozi 5. Kule ni nadra kusikia wazazi, sijui mama, kutolewa...
  17. Mparee2

    #COVID19 COVID-19 Test - Mbuga za Kusini zimetelekezwa

    Hadi ninavyo andika hapa hakuna hata mbuga moja ya kusini Inayofanya Covid sample collection Halafu unasikia Mtu anasema eti tuna promote mbuga za kusini watalii waende huko Mbuga hizo ni; 1. RUAHA NATIONAL PARK (pamoja na kuwa na dispensary ndani ya Park wameshindwa kuiwezesha ichukue sample?)...
  18. masopakyindi

    Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

    Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo. Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula. Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali. Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
  19. MK254

    Kenya, Uganda, Afrika Kusini, na Nigeria ndio mataifa yenye vyuo vilivyo kwenye kumi bora Afrika

    Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja. Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800 Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
Back
Top Bottom