kusitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aljazeera: Ukraine yakubali kusitisha vita ndani ya siku 30

    Ukraine imekubali kupitisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano mara moja kwa siku 30 katika uvamizi unaoendelea wa Russia dhidi ya nchi hiyo ya Ulaya Mashariki, ikisubiri Moscow ikubali masharti hayo hayo, kulingana na taarifa ya pamoja ya maafisa Jumanne jioni. "Ukraine ilionyesha...
  2. Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano ya Palestina

    Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu" Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo". Swali hapa ni: Je, ana...
  3. Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  4. Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

    Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa.
  5. Hamas wasalimu amri kuhusu kusitisha mkataba wa kubadirishana wafungwa

    Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak...
  6. Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

    Wanaukumbi. Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled for this Saturday will be postponed until further notice. ========================= ⚡️BREAKING...
  7. Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  8. Trump ameshashindwa kusitisha vita ya Ukraine kama alivyoahidi

    Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi. Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel
  9. Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  10. K

    Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  11. Kiongozi anasimama mbele ya umma na kujisifia kukopa! Haya ndiyo matokeo baada ya USA kusitisha misaada

    Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
  12. USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

    Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika. Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada...
  13. T

    Ziwa Kivu kusitisha huduma

    Msemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa, na kukusanyika uwanja wa mpria uliyopo karibu hapo
  14. Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  15. Tetesi: Zelensky amejiandaa kuikimbia Nchi endapo Trump atatangaza kusitisha msaada

    Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya Urusi. Duru.
  16. Nijuzeni utaratibu wa kusitisha bima ya afya kwa wanandoa

    Kama mada inavyojieleza Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima. Mchango wenu tafadhali
  17. U

    Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  18. NIDA kusitisha matumizi ya namba kwa wasiofuata vitambulisho vyao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao. Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho...
  19. Makubaliano ya kusitisha mapigano yataendelea kama ilivyopangwa huko Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇱BREAKING: Ceasefire agreement will continue as planned. Crisis resolved, Israeli Cabinet will meet to approve the ceasefire and exchange deal. Tomorrow, the negotiating teams are expected to provide a review of the agreement to government ministers.—Hebrew CH12...
  20. Maelezo kamili ya makubaliano yajayo ya kusitisha mapigano huko Gaza

    Salaam wadau. haya ndio makubaliano yanayotegemewa kufikiwa kati ya Israel na Hamas hivi punde ⚠️ AWAMU YA 1 (SIKU 42): 1. Kusimamishwa kwa Muda kwa Uhasama: - Kusitishwa kwa muda kwa shughuli za kijeshi na pande zote mbili. - Vikosi vya Israel vitaondoka katika maeneo yenye watu wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…