kusitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Barrick kusitisha kwa muda shughuli za uchimbaji madini nchini Mali

    Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali. Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
  2. Dalton elijah

    Israel Na Hamas Kusitisha Mapigano

    Masharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanataraji kukamilika. Hatua hiyo inakuja wakati Rais wa Marekani Joe Biden akisema makubaliano yako ukingoni kutimia, na kwamba utawala wake unashughulikia suala hilo kwa haraka...
  3. Ritz

    Israel na Palestina ziko mbioni kusitisha mapigano

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱 🇵🇸 Israel and Palestine are on the verge of a ceasefire Netanyahu is preparing to present the agreement to end the war in Gaza to his government tomorrow for approval. Channel 12 Hebrew published some details of the crystallized deal, quoting a political official...
  4. errymars

    Netanyahu na Biden wajadili mpango wa Kusitisha Mapigano Gaza na Kuachiliwa Mateka

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amezungumza na Rais wa Marekani Joe Biden, kuhusu maendeleo katika mazungumzo ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. "Waziri Mkuu alijadiliana na rais wa Marekani maendeleo ya mazungumzo ya kuwaachilia mateka wetu na kumsasisha juu ya mamlaka...
  5. Sir John Roberts

    Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO. Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
  6. Ritz

    Mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Sasisho la mazungumzo ya kusitisha mapigano: Kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV: ➤ Hamas imewasilisha Misri orodha ya wafungwa ambao wataachiliwa katika awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. ➤ Maelewano yamefikiwa kuhusu pointi na maeneo...
  7. State Propaganda

    Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
  8. Mtu Asiyejulikana

    Al Jazeera: Israel haitaki kusitisha mapigano yaendelea kushambulia Lebanon

    Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame. Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.
  9. Kiminyio 01

    Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

    Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800. Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
  10. Komeo Lachuma

    Lebanon yalalamika Israel wamegoma kusitisha mapigano. Bado waendelea kuishambulia Beirut

    #Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.⁠ .⁠ “[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its...
  11. fundi saa

    Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  12. U

    Msemaji Hezbollah Mohamed Afif adai kipaumbele kuichakaza Israel kijeshi ila wanaunga mkono juhudi zozote za kusitisha mapigano

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya za Msemaji wa Hezbollah Kwamba wao kipaumbele ni kuishinda Israel kijeshi japo wanakaribisha kwa mikono miwili juhudi zote za ndani na nje ya nchi kusitisha "uvamizi" wa Israel --- Hezbollah says priority is defeating Israel, but open to efforts to halt...
  13. Q

    Onesmo Olengurumwa: Rais bado anayo nafasi ya kukaa na CHADEMA kusitisha maandamano kwa amani.

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital. "Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
  14. JOHNGERVAS

    Msaada namna ya Kusitisha Machine ya EFD

    Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena. Badae alirudi kwenye biashara lakini alibadilisha aina ya biashara na mtaji pia mdogo hivyo...
  15. Komeo Lachuma

    Hamas yaishutumu Israel kukataa kusitisha Mapigano

    Kumbe Maskini Hamas wenyewe wala hawataki Vita ni sisi tu tunaowalazimisha. Ni sisi tu tunaelewa uwezo wao ulivyo mkubwa wao wenyewe wameshachoka hayo maisha.
  16. R

    Issue si kusitisha zoezi la kuwahamisha wamasai Ngorongoro, Issue ni je motive behind kuwahamisha ameisitisha?

    Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai! Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For...
  17. Webabu

    Hamas yasema haina haja na mazungumzo mapya ya kusitisha vita

    Wapiganaji wa Hamas chini ya kiongozi wao mpya Yahya Sinwar imesema haitashiriki kwenye mazungumzo yaliyopangwa kufanyika wiki hii. Badala yake kundi hilo ambalo limepigana na Israel kwa takriban mwaka sasa limesema kinachotakiwa ni kutolewa kwa ratiba kamili ya kutekelezwa kwa makubaliano...
  18. GENTAMYCINE

    Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

    Yaani Msipenga leo kajua kweli kutufurahisha Watu ambao hatupendi Shobo na Sifa za Watu Fudenge Wakoloni wetu.
  19. W

    Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

    Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025 Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni...
  20. Ritz

    Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

    Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar. Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na...
Back
Top Bottom