Masharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanataraji kukamilika.
Hatua hiyo inakuja wakati Rais wa Marekani Joe Biden akisema makubaliano yako ukingoni kutimia, na kwamba utawala wake unashughulikia suala hilo kwa haraka...