Dar es Salaam, Tarehe 30 Januari 2024
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa linaendelea kusitisha huduma ya usafiri wa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Katavi, Kigoma na njia ya Kaskazini kuelekea mkoani Tanga...