kusitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TBS yashauri watumiaji Poda za Johnson & Johnson kusitisha kwa muda

    Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Ngenya amesema uamuzi huo unafuatia uwepo wa taarifa kuhusu Poda hususani za Watoto kuhusishwa na Saratani. Dkt. Ngenya ameongeza kuwa Poda zilizopo sokoni Tanzania kwa sasa zinatoka Afrika Kusini na tayari #TBS imewasiliana na Mamlaka za...
  2. Mafuriko yasababisha Magari kusitisha safari barabara ya Arusha - Moshi

    Mvua zilizoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 3, 2023 katika maeneo mbalimbali mkoani Kilimanjaro imesababisha mafaruko na kusababisha kukatika kwa mawasiliano katika barabara kuu ya Moshi-Arusha eneo la kwa Msomali Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kwa zaidi ya saa tatu...
  3. Rais Ruto amuomba Raila Odinga kusitisha Maandamano, aahidi kuwalinda Wanahabari

    Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa Tume ya Uchaguzi (IEBC). Pia, Ruto amevihakikishia #VyomboVyaHabari usalama baada ya kuwepo kwa...
  4. Odinga amwambia Ruto 'Sitishiki na siwezi kusitisha Maandamano

    Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa Viongozi wa Serikali. #Odinga amesema "Ruto na Gachagua hawawezi kuelewa nilichopitia. Nimekuwa...
  5. DR Congo: Makubaliano ya kusitisha Vita yavunjika tena, mapigano yaanza upya

    Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23. Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
  6. Kurudishiwa nauli baada ya basi kusitisha safari

    Leo basi la Shabib VIP la saa 8 toka Dar (Shekilango) kwenda Dodoma, abiria walitakiwa wabadirishiwe basi na walitakiwa walifuate Stendi ya Magufuli, Mbezi. Sijui kama walifanikiwa kusafiri au la. Ila mkatisha tiketi (mdada) pale Shekilango alikiona cha moto. Jana, basi la Buti la Zungu la saa...
  7. Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

    Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani. Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
  8. DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika. Agizo...
  9. Utata baada ya Serikali kusitisha uwindaji kwa mwaka mzima

    Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji na wageni wakazi iliyoendeshwa Agosti, 2021. Taarifa ilizozipata Mwananchi zinaonyesha kampuni...
  10. Liberia yaiomba Oman kusitisha utoaji wa Viza za Kazi za Nyumbani kwa Raia wake

    Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao Afisa wa...
  11. Marekani kuanza kusitisha uzalishaji wa magari yanayotumia petrol kuanzia2035

    Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo. Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta. California has laid out an audacious goal: In 13 years, it should no longer be possible anywhere in the state to buy a...
  12. Zelensky agomea ombi la Urusi la kusitisha vita, asema hadi Warusi waondoke Ukraine

    Urusi imemtuma rais wa Uturuki aongee na Zelensky watafute mbinu za kumaliza vita, hili limemshangaza sana maana siku zote ndilo lilikua ombi lake, hususan ile siku Urusi ilikua inajaribu kuparamia Kyev kabla kuangukia pua. Asema hadi Urusi iwaondoe wanajeshi wake, ni mwendo wa mapigo tu...
  13. Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa. Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio...
  14. SI KWELI Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Baada ya Kushindwana na Mwekezaji

    Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji. Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa. Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa NB. Kwenye suala na...
  15. NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  16. Papa Francis aomba radhi kwa kusitisha ziara ya Afrika

    Papa Francis ameomba radhi kwa watu wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na Sudan Kusini kwa kusitisha safari yake ya kufanya ziara katika nchi hizo kutokana na matatizo ya kushindwa kutembea. Kiongozi huyo wa Vatican alitangaza kusitisha ziara yake hiyo ya Julai 2-7, 2022 kutokana na tatizo la...
  17. Raia wamsimamisha Rais Macroni atoe kauli ya kusitisha uwekezaji wa bomba la mafuta kutoka Tanzania kwenda Uganda

    Hii itufunze kuwa ni muhimu kufinance vitu vyetu. Bomba la mafuta bado linakumbana na upinzani mkali kwa wanaharakati wenye maslahi yao wenyewe. Wazee wetu walikatwa mikono kwa kufua chuma, the story continues
  18. Toyota kusitisha uzalishaji wa magari kutokana na marufuku ya kutoka nje mjini Shanghai

    Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai. Hii ni kampuni kubwa ya pili ya magari kutangaza kuwa inaathiriwa na marufuku ya kutoka nje ya Covid-19...
  19. Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  20. Standard Chartered kufunza shughuli zake Zimbabwe, kupunguza huduma Tanzania

    BENKI YA STANDARD CHATERED KUFUNGWA ZIMBABWE,INAPUNGUZA HUDUMA TANZANIA. LONDON, Uingereza - Benki kongwe zaidi ya Zimbabwe ya Standard Chartered imefunga shughuli zake nchini Zimbabwe na nchi nyingine sita za Afrika na Mashariki ya Kati kama inataka kuboresha faida kwa kupunguza mwelekeo wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…