poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu.
Ndugu wadau, naomba nianze kwa kujitambulisha binafsi kielimu nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya...
Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi. Je ni wapi wanafundisha kozi hii na ni sh ngapi?
Habari zenu wana jamii bila kupoteza muda naomba niwasilishe utata uliopo kwenye maneno ya biblia na mwenye majinu atanithibitishia tukianza na mwanzo Biblia inasema baada ya adam na hawa kuumbwa waliwekwa bustanini ya Eden na unaambiwa Mungu aliumba wanyama wengi na kati ya hao nyoka akawa...
Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka...
Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place.
Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli?
Acheni...
Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote.
Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
" siwezi kumpeleka mtoto wangu kwenye shule ya Kayumba kwa sababu shule za Kayumba zina wanafunzi wengi mno!!!" The most ignorant statement I have ever read.
Hakuna zawadi nzuri kwa mtoto wako mdogo kama kumpeleka kwenye shule yenye watoto wengi. Zipo FAIDA nyingi sana kumpeleka mtoto wako...
Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
Habari Wana JamiiForums.
Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB).
Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba...
Mgabe alishawahi kusema fisrt class students become engineers, doctors and so and so
third class students become politicians, witch doctors and so and so in order to eat the money of the first class students.
Huo ndo ukweli waliosoama history ndiyo watoa maamuzi ya fedha zenu ziende kwenye...
Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1.
Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho?
Maana siku za dirisha...
Habari zenu wakubwa!
Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T?
Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama...
Nilisoma kwenye shule hii kwenye miaka ya 1986-1989
https://www.youtube.com/watch?v=gBQ8OOy1LHs&pp=ygUcTnN1bWJhIFNlY29uZGFyeSBTY2hvb2wgMjAyMw%3D%3D
Kama uliwahi kusoma kwenye shule hii, sema ni mwaka gani
Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya. Bunge la katiba liliundwa, maoni ya katiba mpya yalikusanywa kwa gharama kubwa na leo unataka...
Naitwa Richard M. Philemon, Mwaka 2008 baada ya kuhitimu form six, niliomba vyuo mbalimbali kikiwemo UDSM, lakini wakanipanga Mkwawa University College of Education (MUCE Iringa), sikwenda katika chuo hicho kutokana na sababu kadhaa za kifamilia na nilitoa taarifa.
Mwaka mmoja baadaye nikaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.