kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Jifunze Kusoma Alama za Nyakati.. Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo.. Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Kaini mtoto wa Adamu alilaaniwa baada ya kumuua Ndugu yake Habili. Alilaaniwa Ktk...
  2. W

    Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kwa Masters

    Wadau habari za Muda huu, Ninaomba ushauri kidogo Kwa wanaojua Nina mdogo wangu ni mwalimu wa sekondari aliyeajiliwa alisoma Bachelor of Arts with Education GPA ya 3.4 Anataka kusoma Masters lengo lake ni kubadili kada kutoka ualimu au kupanda ngazi na kutoka kwenye kufundisha aende kwenye...
  3. Roving Journalist

    Hamad Masauni: Kamera zenye Mfumo wa utambuzi wa Sura kufungwa Dar es Salaam, Arusha na Dodoma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 35 leo Mei 29, 2023. Ufungaji wa kamera za Ulinzi Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni amesema Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi limekamilisha mradi wa ujenzi wa mji salama utakaotumia kamera zenye mfumo wa...
  4. B

    Kozi ipi ya kusoma kati ya hizi Tafadhali

    .
  5. Gotze Giyani

    Msaada: Ufahamu juu ya Kozi ya Bachelor of Public Health inayotolewa Chuo cha Makerere pamoja na hali ya ajira

    Wadau habari za muda poleni na majukumu na changamoto za hapa na pale zikiwepo za mkataba wa kubinafsisha bandari kwa DP world. Mambo yasiwe mengi, nimevutiwa na Course ya Public Health inayotolewa Makerere University. Kwa anayeijua hiyo kozi vizuri naomba ufafanuzi ikiwepo kazi gani mtu...
  6. Victoire

    Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

    Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa...
  7. I

    SoC03 Jinsi ya Kuboresha Elimu na Kusoma Katika Mazingira Magumu Mjini na Vijijini

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo binafsi na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika kutoa elimu bora, hasa katika mazingira magumu mjini na vijijini. Hali hii inaweza kusababishwa na ukosefu wa vifaa vya kujifunzia, walimu wenye ujuzi mdogo, na mazingira ya...
  8. AbuuMaryam

    Hebu wataalamu tusaidie kusoma picha hii halafu tueleze umegundua changamoto gani?

    How many issues May you observe... Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya...
  9. D

    Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
  10. Azniv Protingas

    Ushauri juu ya kozi za kusoma

    Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE) kwenye masomo ya combination. Nia yangu ilikuwa kusoma data science km matokeo yangekuwa mazuri. Lkn...
  11. B

    Utafanya nini ili uwe na hamasa ya kusoma?

    Wakuu nimejikuta nimekuwa mvivu sana hasa kwenye mambo ya kusoma, sina mood kabisa sijui nifanye nini. Hamna ninachowaza useme hela au mapenzi, hamna chochote, nipo tu yaani sielewi japo nahudhuria lecture na kuelewa vizuri ila kusoma ndio imekuwa shida.
  12. DR HAYA LAND

    Mliobahatika kusoma kitabu cha Devil on the Cross by Ngugi wa Thiong'o naomba mnipatie utangulizi tu wa hiki kitabu

    Naomba mliosoma kitabu cha Devil on the Cross naomba mnipatie utangulizi wa hiki kitabu au general overview ya hiki kitabu nahitaji kujifunza yaliyojili humo ndani ya kitabu.
  13. saidoo25

    Mpaka watanzania wanaamua kusoma albadiri kwa wezi serikalini tunaelekea wapi kama taifa

    Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua maalum kwa kina Mwigulu, Makame Mbarawa, Januari na wakubwa wengine waliotajwa na CAG. Pia yuko...
  14. Thailand

    Ushauri kuhusu kusoma England

    Habarini ndugu, Namshukuru Mungu niliomba chuo kipo England (Norwich city) kinaitwa University of East Anglia (UEA) course niliyo kubaliwa Masters of science in Economics and Data science kwa mwaka mmoja. Napenda sana hizo mambo za uchumi, changamoto nimepata ufadhili pound £4000 ila...
  15. Valencia_UPV

    Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

    Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004). NB Postgraduate office wao wanajua...
  16. G

    Referees kwenye kusoma masters

    Habari wana jamvi, poleni na hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa nchi. Naomba msaada wenu kwa mwenye uzoefu kuhusu recommendations za referees kwenye fomu ya maombi ya kusoma shahada ya uzamili (masters) Je? Mfano hawajarecommend kuna uwezekano wa kukosa udahili?
  17. anti-Glazer

    Siasa kwenye elimu. Kila goli tsh 5000000, basi ili watoto wajue kusoma Kila mwl posho 200,000.

    Ndg wanajamii Kuna mambo yanaendelea lakin ukweli ni maslahi pekee. Sasa pamoja na challenge zote Bado Kuna matatizo ya kimfumo. Mwl na koi saw key performance indicator zitapatikana vyuoni au maekelezo??
  18. uzewela

    Kusoma CPA

    Habari wakuu!! Mimi ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo mtihani. Sasa natamani kurudi kufanya mitihani ya CPA, naomba mwenye kujua naanzia stage ipi na...
  19. ChawaWaMama

    Je TCRA au Mamlaka ya Tanzania wanaweza kusoma meseji za Whatsapp? Au zile za kawaida kwenye iPhone?

    Great Thinkers, Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone? Asanteni.
  20. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG 2021/2022. ATCL, NHIF, Deni la Taifa, Vyura wa Kihansi, risiti za kielektroniki, Biswalo. Vyazua Mjadala

    Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa mambo muhimu CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
Back
Top Bottom