Habari za humu ndani?
Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni:
physics-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-C
B/MATH-F
ENG.-D
Kwa mujibu wa Afisa Elimu Mkoa, Samson Hango, Idadi hiyo ni kati ya Wanafunzi 300,000 waliopo Darasa la Kwanza hadi la 7 kutoka Shule za Msingi za Mkoa wote.
Takwimu hizo zilikusanywa Desemba 2022 kupitia Mpango wa Serikali wa 'Shule Bora' unaofadhiliwa na UK Aid kwenye mikoa 9 ya Tanzania...
Zaidi ya wanafunzi 21,930 wa Shule za Msingi Mkoani Mwanza bado hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu hivyo walimu kutakiwa kuongeza jitihada na mbinu zitakazofanikisha wanafunzi kumaliza darasa la kwanza wakiwa na stadi hizo za KKK tatu.
Akizungumza na Walimu na wasimamizi wa masuala ya elimu...
Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini.
Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Jumanne limeomba wanawake na wasichana nchini Afghanistan washirikishwe kikamilifu na kwa usawa,
likilaani marufuku kwa wanawake kusoma kwenye vyuo vikuu au kufanya kazi kwenye mashirika ya misaada ya kibinadamu, iliyowekwa na utawala unaoongozwa na...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Awali ya yote naomba ku declare interest kuwa mimi ni mkristo; sio mpagani au muumini wa dini zisizojulikana. Kuna baadhi ya waumini wa dini pamoja na wapagani wanaodai kwamba sikukuu ya krismasi ni kipagani....kwamba hakuna mistari yoyote ya biblia...
Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili??
Naombeni msaada...
Utakapokufa katu hutoweza kurudi tena duniani.
Ukweli ni kwamba watu wengi wanaogopa kufa, ijapokuwa wapo ambao inafikia hatua hawaogopi kifo kabisa, lakini pia inaweza kufikia hatua kwa baadhi ya watu mpaka wakakiomba kifo. Hii huwenda ni kutokana na shida na taabu walizo nazo. Lakini katika...
MTU ALIYEPANDA MITI
Hii hadithi imehamasisha mamilioni ya watu duniani kupanda miti na kutunza mazingira. Unafaa sana wakati huu tunaokabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Umewahi kuisoma? Ulijifunza nini?
Muandishi: Jean Giono 1953.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
Mwaka fulani nikiwa wilaya moja mkoani Iringa nikifanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Kilolo katika idara ya TEHAMA.
Nikakutana na chotara wa kihehe na kizungu kwenye korido, wapo wengi sana Iringa sijui walitokea wapi, zile dizaini ya Hanspope.
Binti mdogo wa miaka 21, nikamtongoza...
HABARI,
Hivi wanajamvi kuna umuhimu gani kusoma kozi ya risk management and insurance? Na kama upo vipi Ajira zake maana -kujiari via iyo kozi ni kipngele sana.
Mwenye -positive idea please share we with us.
Kichwa cha habari cha husika,
Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering
Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya...
Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?!
Basi, tambua:
1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini!
2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa.
Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje?
Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi.
Points za dogo kuacha medicine...
Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga...
Mzee Ramadhan Rashid mwenye umri wa miaka 80, mkazi wa wilayani Kisarawe, amekuwa mmoja kati ya watu 300, waliojitokeza kuanza shule ya awali inayotolewa kupitia mpango wa elimu ya watu wazima MUKAJA na ule wa waliokua nje ya mfumo rasmi wa elimu MEMKWA.
Mzee Ramadhan, amejiunga na wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.