Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine wanajiendeleza na kusoma eti kisa kuongeza laki 200000 tu kwenye mshahara wake! Huo ni ulofa na...
Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka. Hongera sana.
Mama ninakupongeza kwa kukamilisha miaka miwili ya uongozi wa nchi yetu ukiwa kama rais na...
Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti.
Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote,
Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea
kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona,
Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya...
Habari za sasa hivi.
Nimemaliza chuo degree ya uhasibu nataka niende kusoma CPA kwahiyo nilikuwa nauliza gharama ya kusoma hiyo CPA kwenye intermediate level itacost sh ngapi?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote
Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo.
Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina...
Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply.
https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
Salaam kwako!
Mwaka 2015 punde baada ya Hayati Rais Pombe Magufuli kushika madaraka alianza vizuri kwa kutekeleza/MADAI ya upinzani (CHADEMA) kwa kiasi na kasi kubwa sana.
- Kufuta baadhi ya desturi za kitaifa/chama ambazo zilifanywa na watangulize wake kwa mfano sherehe za uhuru(akapongezwa)...
Habari,
Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako.
Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu.
Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
adobe
app
apps
audio
biashara
dar
dar es salaam
free
graphics
je wajua
kazi
key
kitabu
kusikiliza
kusoma
mechanical
microsoft
microsoft office
office
pro
professional
software
speech
unatafuta
wajua
windows
windows 10
yako
Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china.
Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa .
@projkishimba
Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara.
Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka...
Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter.
Itawezekana muajiri kunikubalia coz...
Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana.
Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya wasomi vinataka kusajili wanafunzi walio na rekodi za mambo ambazo zinaonyesha kuwa wao ni aina ya watu...
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini...
Wasalaam wana JF
Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo:
1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo.
2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si...
habari za humu?
Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo;
Civic-D, Hist-D, B/Math-F, Eng-D, Biology-C, Kiswahil-B, Physics-D, Chemistry-D
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.