Ni mchezo uliojaa wachezaji wengi Wamarekani weusi na waafrika waliobadili maisha yao kwa mishahara inayoenda mpaka bilioni 3 kwa wiki
Huwa ni vijana warefu wenye miili ya mazoezi, wanatupia pamba za bei, mkwanja upo wa kutosha, Ni ngumu kuambiwa NO wakitupa ndoano
Lakini kuna mchezo mchafu...
Utangulizi
Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na PhD.
Niwaase walimu usikae kota zaidi ya miaka 5, jibane ukope mkopo bank usiogope kusemwa...
Kwa taratibu za Chama hasa kwenye nchi za demokrasia Mh Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya uma. Waziri mkuu wa Canada ametangaza kustaafu sio kwasababu kashidwa uchaguzi lakini ni kwasababu viongozi wenzake wa ndani ya chama wamekosa imani kwake. Uingereza hii inatokea mara nyingi sana na...
Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono.
Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la ukosefu wa ajira nchini na duniani ndipo akafunguka kuwa watoto wake kasomesha private both primary...
Nimesikiliza hotuba yote ya Ndugu Mwenyekiti F A. Mbowe. Pamoja na mambo mengi ya kushangaza katika hotuba ile ikiwemo kuonekana Mwenyekiti amekamia kukomoana, lakini binafsi nimeshtushwa sana na kauli yake ya kusema anataka amalizie ngwe yake ya mwisho kwasababu hadi sasa ana miaka 63, hivyo...
Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi...
GTs,
Hakika ukiyasikia ya miaka hii ya utumishi wa umma na kustaafu utashangaa hivi kwanini watu wanang’ang’ania ofisini baada ya muda wa utumishi kuisha?
Kuna mtumishi mmoja hapa Dar alistaafu kwenye taasisi moja ya umma, akaongezewa mkataba kwa mfululizo miaka miwili, mwaka wa tatu...
Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.
Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika, mainjinia; kuomba ufadhili wa pesa wenye riba nafuu, gvt ikielewa proposal yenu mnapewa fund...
Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.
Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na...
Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60.
Hayo yamesemwa leo Desemba 18, 2024 wakati vijana wakitoa maoni yao kwenye rasimu ya Dira ya Taifa 2050...
Habari za wakti huu;
Ni matumaini yangu kwamb mnaendelea salama na Shughuli zenu za upambanaji na utafutaji wa Riziki;
Leo nimeona nilete mada ambayo kwa wajasiriamali wengine inaweza kuwa na faida sana na kuwasaidi katika kufanya mipango kuhusu maisha yao ya sasa na ya baada.
Leo nataka...
Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker,
Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !!
Ikawaje Harris Mwanamke aligombea ?
Team Obama walianza mipango ya kumlazimisha Biden atangaze hagombei Urais tangu...
MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa.
Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
Moja kwa moja kwenye mada:
Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani nyingine.
Swali langu mtu ametumikia nafasi tatu au nne au tano tofauti na zote zina maslahi tofauti ya...
hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho..
haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini...
Nchi yetu wakuu wa taasisi na vyombo vya ulinzi kwa miaka ya karibuni awastaafu ila wanabadili kazi. Wanastaafu leo kesho anateuliwa mjumbe wa bodi au balozi.
Matokeo ya mfumo huu hakuna kiongozi wa taasisi anayestaafu akiwa na biashara visible au kampuni inayoajiri hata vijana watano. Wao pesa...
Mcheza mieleka na mwigizaji maarufu kutoka Marekani John Cena, ametangaza kustaafu kushiriki katika Mashindano ya Mieleka (WWE) wakati wa hafla ya WWE Money in the Bank iliyofanyika Canada tarehe Julai 6, 2024.
John Cenna amesema atashiriki mashindano yake ya mwisho yatakuwa mwaka 2025 kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.