kustaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  2. BARD AI

    Haya hapa malipo ya kustaafu ya Rais Uhuru Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10. Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria ya Mafao ya Kustaafu ya Rais ya 2013, Rais anayemaliza muda wake ana haki ya malipo ya mkupuo...
  3. B

    Wasiotaka kustaafu kwetu, ya Malkia UK wanayatamani hapa

    Ama kwa hakika Kenya wamepiga hatua kubwa sana. Kwetu wastaafu hawataki kustaafu na wanalazimisha watoto kuja kutawala. Nini tofauti yetu na Kenya? Kupi kufanana kwetu na Uganda, Burundi au Rwanda? Pole yetu Tanzania.
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali ifuatilie semina wanazopewa Watumishi wa Umma wanaotaka kustaafu

    Habari zenu! Ofisini kwetu kuna utaratibu wa semina elekezi kwa watumishi wanaanza kazi na wanaotaka kustaafu. Kwa hii ya wanaoanza kazi iko vizuri maana hata Mimi nimeipata na kuona iko vizuri. Maana inabase kumjenga mtumishi mpya kiuzalendo zaidi na kuijua serikali yake. Imeanza wapi, iko...
  5. JITU LA MIRABA MINNE

    Uzi maalumu: Umejipangaje kustaafu, utajishughulisha na nini uzeeni ili kuingiza kipato ili usiishi kwa mateso?

    Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
  6. Teko Modise

    Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

    Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa. Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
  7. M

    Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  8. JanguKamaJangu

    Jack Wilshere atangaza kustaafu kucheza soka

    Kiungo wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 30, timu yake ya mwisho ikiwa ni Aarhus ya Denmark. Wilshere ambaye alikuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara iliaminika atakuwa staa mkubwa wakati akichipukia, anastaafu akiwa ameichezea...
  9. Michael mbano

    Hii ndiyo maana ya kustaafu?

    Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine. Je, ipi maana ya kustaafu ?
  10. Marumeso

    Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

    Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu. Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
  11. JanguKamaJangu

    Neymar mbioni kustaafu kuichezea Brazil

    Nyota wa Brazil, Rodrygo amedai kuwa kuna uwezekano wa nahodha wa timu yake, Neymar akastaafu kuichezea timu ya taifa hilo kisha kumkabidhi yeye jezi namba 10. Neymar ambaye amefunga mabao 74, akishika nafasi ya pili nyuma ya Pele aliyefunga mabao 77 katika historia ya Brazil inadaiwa Michuano...
  12. Greatest Of All Time

    Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu. Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
  13. Marumeso

    Umri Upi ni Sahihi kwa Mtu Kustaafu kazi?

    Wakuu tujadili umri sahihi kwa mtu kustaafu ni upi? Awe ni mtu binafsi anayefanya shughuli zake mwenyewe au za kuajiriw na kama ni lazima uwe na hela za kutosha kwanza ndio uamue kustaafu.
  14. J

    Uwezekano wa Mbowe kustaafu 2023 ni mdogo sana kwa sababu anahitajika sana kwenye Maridhiano

    Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023 Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha Ila kea hiki kikosi kazi kipya cha wajumbe 20 kutoka Chadema na CCM kinavhoratibu siasa za Tanzania mpya ni wazi Mbowe itabidi...
  15. MamaSamia2025

    Job Ndugai kustaafu siasa ni pigo kubwa kwa CHADEMA - 2025

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu. Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno...
  16. Chendembe

    Ushauri: Serikali itoe fursa ya watumishi waliotumikia kwa zaidi ya miaka 15 kustaafu kwa hiyari

    Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali. Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo. Ufike...
  17. K

    Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Nimeangalia video ambayo Mkuu wa majesho yetu, Jenerali Venance Mabeyo akiongoza harambee ya kuchangia fedha kwa ujenzi wa moja ya parokia ya Kanisa Kaoliki, nadhani ni ya Kawe kama sijakosea. Katika misa na hafla ile Generali Mabeyo aliwaongoza vizuri sana wanajeshi wenzake wakachangia fedha...
  18. Chachu Ombara

    Muhoozi Kainerugaba (Mtoto wa Rais Museveni) atangaza kustaafu Jeshi. Je, ni maandalizi ya kurithi kiti cha Urais?

    Picha: Baba(Rais), Mtoto (Luteni Jenerali), Mama (Waziri wa Elimu) Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni nani? Muhoozi Kainerugaba ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mama Janet Museveni, ambaye ni waziri wa elimu na michezo tangu mwaka 2016. Ni mume wa Charlotte Nankunda Kutesa aliyemuoa...
  19. S

    Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba? Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
  20. Aliko Musa

    Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
Back
Top Bottom