Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko.
Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
Utangulizi.
Kwa kuzingatia mazingira ya sasa, idadi ya watu inazidi kuongezeka kwa kasi kubwa na pia changamoto za kiafya zinazowakabili watu wengi hasa katika umri wa kuanzia miaka 50, kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kutaweka msingi imara kwa ustawi wa wastaafu, kuongeza ufanisi katika...
Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k.
Hutashangaa kusikia kada hizi zikikemea...
Unakuta mzee kabakisha miaka miwili au mmoja astaafu anaanza kuwa na hofu ya maisha baada ya kustaafu ile hali inampelekea awe katili sana linapoluja suala la pesa.Kila safari inayokuja analazimisha ahusike hata activities ambazo zinapendeza aachie Vijana anang’ang’ania.Sio vizuri kwa kweli...
Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )
Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa...
Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko?
Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
Achana na salamu kwan ni chakula?
Sasa wakuu, plan hii inainvolve mtu kustaafu miaka mitano mbele kuanzia siku ya leo, may be inaweza kuwa 6 ila sio mbaya,
Plan yenyewe ni hivi, hakikisha unasave 2.2M kila mwezi kwa miaka 5 toka leo katika mfuko wa Bond fund UTT ambao kwa wastani huongezeka...
KIONGOZI wa Chama cha Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa bado hajajiandaa kujiondoa katika ulingo wa kisiasa na kwamba hatostaafu.
Raila mwenye umri wa miaka 78 alidokeza kujaribu bahati yake katika kiti cha urais kwa mara ya sita katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
"Siko tayari...
01 November 2023
Lusaka, Zambia
RAIS MSTAAFU APOTEZA HAKI YA MARUPURUPU KWA KUJIHUSISHA NA SIASA
Picha: Rais mstaafu Edgar Lungu wa Zambia
Rais mstaafu marupurupu yake ni pamoja walinzi 3, pasipoti ya kibalozi, magari 3 ya serikali, nyumba iliyosheheni samani, bima ya afya na gharama za...
Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu...
Mangariba wawili mashuhuri mkoani Kilimanjaro, wanaosifika kwa kukeketa vichanga na wasichana, wamesalimu amri na kutangaza kuachana na kazi hiyo, baada ya kubanwa na Kamati ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Kijiji cha Mawala, Wilaya ya...
Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe.
Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
Wachambuzi wameitisha mjadala wa mawazo kutoka kwa wadau ili kufanyia kazi tatizo la kutokuwa na mipango baada ya kustaafu kwa zaidi ya robo ya watu waliofikisha umri wa miaka 55 na zaidi.
Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri...
Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti.
Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
Kuna miamba imekunjwa bia hapa Mwenge imekaa inajadili mambo ya kijeshi....miamba hii inaongea kwa uchungu hadi natamani kuwarekodi wanavyopayuka kuhusu dhulma za upandishwaji vyeo wizara ya mambo ya ndani.
Washenzi wanajitia kumsaidia uchaguzi JPM lakini akakataa wasipandishwe vyeo na sasa...
Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje?
Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
Inadaiwa kuwa Nyota huyo wa Los Angeles anafikiria kuhusu uamuzi huo baada ya timu yake kupoteza kwa 4-0 dhidi ya Denver Nuggets katika Fainali za Ukanda wa Magharibi kwenye Ligi ya Kikapu ya NBA.
Taarifa zinadai kuwa James amesema anahitaji muda kutafakati kama atarejea uwanjani kuendelea...
Mwanzoni Ronaldo alipojiunga na timu ya Al-Nassr huko Saudi Arabia niliona future kubwa kwake na kwa timu yake kwani aliingia na impact kubwa sana kwa timu hiyo. Alitupia mabao almost kwenye kila mechi na kuifanya timu yake kuendelea ku-shine pale kileleni kwenye msimamo wa ligi yao. 😂😂Hata...
Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile
Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema,
Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe .
Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.