Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue