Kigezo cha kustaafu kiwe ni ugonjwa ama kifo, na siyo umri kama ilivyo sasa. Case study ni Steven Wasira.

HUJU KITU. TATIZO MMESOMA UDOM AMBAPO NI TAKATAKA! WASIRA SIYO MTU NI KAMA STOOGE! AMEINGIA KATIKA AGE YA SENILE IMBECILITY...HE IS AN IMBECILE!

Hao wote uliowataja, ni senile imbecilles!
Yaani wewe ni mpuuzi sana
Mada hiyo aliyotoa inahusiana nini na chuo alichosoma?

Una uhakika kasoma UDOM?

Una uhakika huko UDOM wanasoma takataka?

Wewe uliosoma Harvard university una mchango gani kwa taifa ikiwa kila sekta ipo hoi?
 
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?

Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.

Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.

Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?

Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.

Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.

Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Napingana na hoja yako, inatakiwa mtu akifanya kazi miaka 20 tu kuwe na option ya kustaafu na apatiwe hela zake zote za mafao akafanyw maisha mengine

Kazi zenyewe nyingi ni stress tu na hazina maslahi, bora mtu akapambane kivingine
 
Mtoto wa wasira keshastaafu utumishi wa Uma baba bado anatinga kwenye pay roll
 
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?

Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.

Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.

Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?

Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.

Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.

Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
WHO yenyewe imeshasema miaka 60 siyo uzee bali ni ujana wa mwishoni na hivyo kustaafu kwa hiari kwenye mashirika ya UN sasa hivi ni miaka 63 na kwa lazima ni 65.
 
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?

Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.

Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.

Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?

Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.

Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.

Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Unamzungumzia marehemu wasira
 
Africa tunaongoza kwenye msimamo wa ligi ya marais wazee duniani.

Paul Biya/ Cameron 92
Mumbai / Namibia 83
Quatarra/ Ivory Coast 82
Mbosongo/ Equatorial Guinea 82
Nana Kufo/ Ghana 80
Munangagwa/ Zimbabwe 82
Museveni / Uganda 80
Na kwenye ligi hii refa wao ni Paul Biya asiyetaka kuachia madaraka
 
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?

Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.

Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.

Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?

Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.

Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.

Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Umemsahau M7 @83
Rais wa cameroon @94
Huyu Wasira mnayemuona mzee huku kwenye vikao vya kina M7 ndio kijana anayetumwa dukani.
 
Kustaafu ni uzwazwa wa kukosa ubunifu. Wasira ana miaka 810 na bado anatumika. Ukitaka kuondoa ujinga wa kustaafu, walazimishe wanasiasa kustaafu. Watafutilia mbali kustaafu kwa sababu kutakuwa kunawahusu.
 
Ni sawa lakini ikiwa hivyo mbona vijana watazidi kusota mtaani nikimaanisha ajira hazitakuwepo tena na hata zikiwepo basi zitakuwepo kuzipata ni mbinde kweli kweli.

Mfano hai ni sasa hiyo kusubiria tu hao wazee wastaafu ndo wengine waajiriwe kuziba nafasi ajira zimekuwa za shida je ikianza kusubiriwa mpaka wafe unadhania itakuwaje hapo?
 
Umemsahau M7 @83
Rais wa cameroon @94
Huyu Wasira mnayemuona mzee huku kwenye vikao vya kina M7 ndio kijana anayetumwa dukani.
Niliona clip moja M7 amepewa panga akate mgomba, ilimchukua saa zima kuuangusha.
 
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?

Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.

Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.

Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?

Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.

Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.

Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Kwa tulioishi Ulaya tumeona wameongeza umri wa kustaafu hadi 70 na bado watu wana nguvu. Miaka 60 ni michache sana ni kupoteza rasilimali
 
Nikiona clip moja M7 amepewa panga akate mgomba, ilimchukua saa zima kuuangusha.
UGanda kuna wanawake wazuri sana lkn M7 kwa sasa labda aingie chumvini, ama ashike tako na kunusa chupi zao.
 
Back
Top Bottom