Habari za asubuhi hii wanabodi.
Nimejaribu kufikiri kwa sauti kuwa Messi huwa anafanya Mambo kimya kimya.
Kwa kuzingatia hilo na yeye kugoma kusaini mkataba mpya na Barcelona inadhihirisha huenda akawa na agenda ya Siri, siku akifanikiwa kuchukua Copa di America basi atatangaza kustaafu alafu...