Madereva Bajaji na wamiliki wa Bajaj Jiji la Mbeya wamesusia mkutano ulioitishwa na Mwenyekiti wao ndugu Lucas Mwakyusa kufuatia madai yao ya ukiukwaji wa katiba ya Chama cha Madereva Bajaj katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya pamoja na kudai hati miliki ya nyumba eneo la Ofisi za Bajaj Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.