kutafuta mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Je kutafuta mali bila kuziendeleza ni laana inayowakabili Waafrika weusi?

    Mpendwa Mwafrika mwenzangu, Leo nakuandikia tafakri yangu binafsi, lakini pia kwa tumaini. Uchungu kwa sababu kuna jambo linaloendelea kwenye jamii zetu ambalo linatufanya tusisonge mbele kama tunavyopaswa. Tumekuwa watu wa kutafuta, lakini si watu wa kuendeleza. Tumekuwa hodari wa jasho...
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kipindi wazazi wa wenzenu wanawatafutia ngawira watoto wao, nyie wazazi wenu walikuwa kutwa wanakesha DDC Mlimani au Maclub

    Wazazi wa wenzenu walikuwa wanatafutia watoto wao ngawira walikuwa wanapambana huku na huko nyie wazazi wenu walikuwa wanakesha ma club wakijiona wajanja kuliko wazazi wengine, ona sasa nyie mnavyohangaika kutafuta pesa. Wazazi wenu hawajielewi, juzi hapa tumeuza Magomeni kila mtoto ameingiziwa...
Back
Top Bottom