kutafuta utajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwenda kutafuta utajiri kwa waganga

    Niaje wakuu, haya ni baadhi ya madhara utakayopata ukienda kutafuta utajiri kwa mganga. Utapeli wa kifedha; Waganga wengi feki hutumia saikolojia ya hofu na tamaa kuwaibia watu kiasi kikubwa cha fedha kwa kisingizio cha "kusafisha nyota" au "kununua vifaa vya mizimu,sadaka Masharti magumu na...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha 😀😀 Wazee wa kupiga bao
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Kuwa Tajiri(Milionea) - Sehemu ya II(Part Two)

    Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune. Wewe unayefanya biashara...
  4. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kipindi wazazi wa wenzenu wanawatafutia ngawira watoto wao, nyie wazazi wenu walikuwa kutwa wanakesha DDC Mlimani au Maclub

    Wazazi wa wenzenu walikuwa wanatafutia watoto wao ngawira walikuwa wanapambana huku na huko nyie wazazi wenu walikuwa wanakesha ma club wakijiona wajanja kuliko wazazi wengine, ona sasa nyie mnavyohangaika kutafuta pesa. Wazazi wenu hawajielewi, juzi hapa tumeuza Magomeni kila mtoto ameingiziwa...
Back
Top Bottom