Eeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.
Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.
Hii bar nitarudi tena kivingine.
Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa.
Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
Ndugu zangu kama kawaida yangu Huwa nikipata wasaha wa kuwaasa vijana wenzangu , Huwa sipendi kuwa mchoyo wa taarifa hivyo Leo nimeona niwafunue ubongo maana kupitia bandiko langu nililoweka la fursa za ajira Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu
Watu wengi wamekuwa wakinitafuta kwaajili ya...
KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu zao na kuzichoma, enzi hizo ukiwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo.
Umepewa nondo feki na wafanyabiashara...
Wasalam,
Mla Bata nimeukataa ukware, madunga embe sasa mimi basi, mwajuma, sikujua, waseme, zubeda, tumaini, Mimi na nyie baaaasi, natafuta jiko NIOE wakuu na jiwe langu nataka kulirusha nchini Eritrea, moyo wangu umekufa kwa watoto wa "kunama" na "saho"
Wandugu, kama kuna mtu ana uzoefu na...
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.
Hii inaonesha kwa...
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho.
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
Et nikifikisha miaka 30 nitakua tayari na nyumba, Gari, Mke, Biashara kadhaa ,kazi nzuri n.k ?.... Hivi Kijana kama wewe uwazaye haya wee ni Mungu.
Toka juzi Kuna nyuzi naziona ona humu..
Mara... Ulijisikiaje ulipokutana na jama mlosoma ,yeye kafanikiwa.
Mara... unajisikiaje kufika miaka 30...
Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume.
Mambo yamegeuka kabisa.
Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date.
Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu.
Binafsi nimetambua dhamira ya uwepo wetu katika hii dunia ni kutafuta namna ya kupambana na mazingira ili kupata...
UFAFANUZI WA KINA NA MBINU ZA KUACHA UVUTAJI WA SIGARA
Mbinu Za Kuacha Uvutaji Wa Sigara
Miongoni mwa mambo magumu kabisa katika ufanikishaji wake ni mtu kuachana na uvutaji wa sigara. Watu wengi wamekuwa wakionywa kuachana na uvutaji wa sigara kwa sababu ya madhara yake, lakini wamekuwa...
Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu.
Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku.
Hakika tutakula kwa jasho.
Mathayo 6:6-9
"Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba.
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako Litukuzwe
Ufalme...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
Mwezi ni nguvu ya asili yenye kuleta giza ndiyo nishati inayotupatia wakati wa usiku.
Mwezi ni jumla ya wiki nne ambapo kuna siku takribani 30/31/29 na kwa mwaka mzima tunapata miezi 12.
Wazungu wametumia neno msamiati MOON kumaanisha nishati,vile vile wametumia neno MONTH ikimaanisha idadi ya...
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo. Walimwambia kuwa hawamuhitaji kwani wanachuo wengi wanafundishwa kwa theory sana na sio practice.
Kwa stahili...
Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26
kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri.
Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini"
Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.