Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana.
Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
Tarehe 18 Desemba ni siku ya maadhimisho ya miaka 45 tangu sera ya mageuzi na ufunguaji mlango ianze kutekelezwa nchini China. Katika kipindi hicho, China sio tu imefanikiwa kujiinua kiuchumi, na mafanikio yake kuwa dhahiri kwa wote, bali pia imetoa usaidizi mkubwa kwa maendeleo ya Afrika na...
Hapo vip!!
Kwa awali ya yote niandike kirefu cha TOEFL ni Test of English as a foreign language na IELTS International English language Testing system .
Ndugu zangu awali ya yote niseme tu nasikitika sana kuwepo na kuzaliwa katika nchi kama hii inaitwa Tanzania.
Lakini pia sisi sote ni...
KAZI YA WANAUME – KUTAFUTA: Sehemu ya I
Wanasayansi wanasema na ndivyo ilivyokusudiwa na Mungu. Mwanaume Adamu aliwekwa bustanini Edeni ailime na kuitunza (Mwa 2:15). Hata yeye na mkewe Hawa walipochafua uhusiano wao na Mungu aliadhibiwa katika mstari huo huo wa kazi akiambiwa atakula kwa jasho...
Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo.
Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
Wajanja wa mji hoyee,
Nadhani kila mmoja wenu yupo sawa na mambo yake, .
Mnamo 2019 nilianza kutafuta mwenzi wa maisha yangu waswahili wanasema huba la moyo .
Nilipata mwanaume sio single ila alitaka niwe mke 2 nikaona hapana na ndio mwisho wa mawasiliano pale nilipokataa.
Wakaendelea kuja...
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa huu ya namna ya kuendesha biashara zao kwa ufanisi na weledi ili waweze kujikwamua kiuchumi...
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.
Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.
Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
Tarehe 15, Novemba kwa saa za Marekani, dunia nzima inaelekeza macho Philori Manor mjini San Francisco, ambapo Rais Xi Jinping wa China alialikwa na kuwa na mkutano wa saa nne na rais Joe Biden wa Marekani. Huu ni mkutano mwingine wa ana kwa ana kati ya wakuu wa nchi hizo mbili mwaka mmoja baada...
Bora msema kweli kuliko kuwa mnafiki. Kijana unaye jitafuta usije jaribu kufungasha mizigo kwenda kutafuta maisha huko mikoani, watu wa mikoani ni wabinafsi, roho mbaya, majungu na fitna.
Kijana ukiwa Dar una 85% za kutoboa hapa town, kapuku muuza maji leo mtafute baada muda utamkuta mbali...
Habari za wakati;
Kwanza kabisa nianze kwa kuweka wazi kwamba lengo la mjadal sio kuwakebehi watu ambao wameajiriwa/wanatafuta ajira au wanatamani kuajiriwa.Kama mjadala wangu utaelekea upande huo niwaombe radhi mapemo na zaidi niwaombe tujikite kwenye mjadala kwa wale ambao watashiriki katika...
Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo.
Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama na kusoma jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali ya Zambia kupitia Rais wake Hakainde Hichilema kutafuta namna rahisi ya kusafirisha bidhaa zao kutoka ndani ya Zambia na za kuingiza nchini mwao bila kusahau zinazopita kuelekea nchi zingine hasa DRC...
Samahani kusema ila truth be said hawa jamaa hawana akili hata punje, imagine watu wanategemea maji, umeme, mafuta, chakula kutoka Israel na wako kwenye mazungumzo ya amani ila yanakurupuka na kurusha vijibaruti vyao dhidi ya hao hao Israel.
And yes "vijibaruti" hivi ukilinganisha makombora ya...
Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata fursa yeyote kwani niko tayari kujifunza
So ladies and Gents
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23...
Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni.
Tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo...
Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama...
Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupotezea muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ni ishara ya rais kukosa hoja.
Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo katika jitihada za kuvunja rekodi ya awali ya saa 117 iliyowekwa mwaka jana katika kijiji cha mapumziko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.