kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SweetyCandy

    Natafuta mume

    Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke. Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo. Siku njema ==== Mrejesho wa...
  2. Al nassr

    Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda...
  3. Bushmamy

    Binti mdogo anayemfungia ndani Mama yake mgonjwa aliyepooza kutwa nzima na kwenda kutafuta pesa za kumuhudumia inaumiza wengi mtaani

    Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6. Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
  4. The Shah of Tanganyika

    Kwanini CCM imeamua kukimbilia mikoa ya Kusini kutafuta uungwaji mkono DP World?

    Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu kuliko mikataba yote ya nchi hii. CCM iliamua kuanzia kampeni zake vijijini huko mikoa ya kusikokuwa...
  5. Lord denning

    Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  6. M

    Nchi hii ushindwe tu Mwenyewe kutafuta chimbo la hela. Jiite tu Nabii

    Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
  7. sky soldier

    Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

    Kuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu unaanza kutafuta exit strategy. Kwangu mimi: 1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni turn off kwangu, off course inaweza kuwa ni wafanyakazi wenzake, wanafunzi wenzake, wateja, n.k. lakini...
  8. D

    Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

    Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata. Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa...
  9. Suley2019

    Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  10. GENTAMYCINE

    Waridi wa BBC Suzana Michael: 90% ya Wadada wanaoenda kutafuta Maisha Ulaya, Marekani na Asia huishia kufanya Ukahaba

    "Nilipokuwa Mdada na kuona Maisha yangu hayaeleweki niliamua kupambana ili niende Nje ya nchi nikiamini huko ndiko kuna Maisha mazuri ila najuta kwani niliishia kuwa Kahaba ( Malaya ) kwa Miaka miwili hadi kuamua kurejea nchini Tanzania ambako nimegundua kama ukijipanga hapa kuna Maisha mazuri...
  11. Restless Hustler

    Nimekuja kwa Mara ya mwisho kutafuta mke

    Wakuu bado Nahitaji mke. Niliwahi kuleta Uzi humu 👇🏾👇🏾 https://www.jamiiforums.com/threads/nahitaji-mke-wa-kuoa.2087011/
  12. MK254

    Mapambano Bakhmut yanaendelea, licha ya Wagner kutafuta pakutokea kwa kujitangazia ushindi

    Vita vimechacha Bakhmut, wanajeshi wa Ukraine wanaendelea kupeleka moto huku Wagner wakiharakisha kutoka baada ya kujitangazia ushindi.......wanajeshi wa Urusi watachinjwa sana maana waliokolewa na "mizoga" ya Wagner ambao walikua wanakufa kama chambo. ========================== On 25 May, on...
  13. og master plan

    Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

    Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
  14. Poppy Hatonn

    Ningependa kuwa sehemu ya delegation kutafuta amani Sudan

  15. R

    Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi

    Hello! Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu. ~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) ~ Namba: 0674074563 ~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar ~ Nipo Temeke Dar es Salaam
  16. GoldDhahabu

    Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  17. Teslarati

    Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

    Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko mkoani, mimi nipo zangu hapa Town nimeajiriwa ofisi fulani na nimepanga ila mara kwa mara huwa...
  18. K

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  19. M

    Hebu tudadavue ukubwa wa tatizo la ajira nchini: Ni wangapi wanaingia kwenye soko la kutafuta ajira kwa mwaka? Uwezo wa kuajiri (serikali & private)?

    Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
  20. R

    Kama Watanzania tutapuuza kutetea na kutafuta haki za Marehemu, maisha yetu yatazidi kuwa hatarini siku kwa siku

    Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike. Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
Back
Top Bottom