kutatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Pamoja na kulipwa mishanara, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wameshindwa kutatua kero za wananchi mpaka Makonda aingilie kati!

    Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
  2. Vincenzo Jr

    Mungu atuepushe na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua

    Kuna ndugu zangu jumapili watapakimbia sana hapa ndani
  3. BIG STONE AND CONER STONE

    Msaada: Fundi anayeweza kutatua tatizo la USB/Flashdrive kusoma au kuhamisha mafaili kutoka USB ambayo haisomi

    Inshort' Nilinunua flash yangu GB 16 imation nikaweka file zangu important ila finally hii flash Ikawa haisomi Tena Baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa. Baadae nikanunua nyingne ya GB 8 ila kampuni ni Disk, sasa na yenyewe haisomi tena baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa. Changamoto hizi...
  4. Gibbethon bible code

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    OUR PRODUCT -BIBLE CODE (Luka 24:45) zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia. PM NIMEIFUNGA Kama una-ushuhuda Mungu amekufanyia baada ya kutumia bible code share huku usiogope., na kama una...
  5. Kididimo

    Kila Kiongozi anaona sifa kutatua kero badala ya kujisifu kwa kuzuia kero

    Katika nchi yetu imeonekana kwa sasa sifa kuu ya klongozi ni kuwa mahiri wa kutatua kero. Kiongozi anateuliwa leo, anaambiwa wewe utafaa kwenye kutatua kero hii. Mfano ni kero ya mgawo wa umeme nchini. Zaidi ya maraisi 3 waliopita wamekuwa wakiteua mawaziri na wakurugenzi wa Tanesco kwa...
  6. Mkunazi Njiwa

    Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

    Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI. Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg. Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB. Mbunge...
  7. Wakili wa shetani

    Hivi huyu waziri wa nishati anachukua hatua zozote kutatua mgao au anasubiria mvua?

    Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda. Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala...
  8. Stephano Mgendanyi

    Afrika Kishirikiana Kutatua Changamoto ya Usafirishaji Bidhaa Baina ya Nchi

    Afrika Kishirikiana Kutatua Changamoto ya Usafirishaji Bidhaa Baina ya Nchi Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Nchi za Afrika zimekubaliana kushirikiana katika kutatua changamoto mbalimbali za kibiashara ikiwemo usafirishaji wa bidhaa ndani ya Bara la Afrika...
  9. Erythrocyte

    Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

    Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake . Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ? Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !
  10. Suley2019

    Fanya haya kutatua changamoto ya spika simu inayokoroma

    Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho. Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele. Kama umekutana na changamoto tajwa hapo juu au za namna hiyo, kwa muda huu ambao unasoma hapa, basi fanya...
  11. Pascal Ndege

    Haiwezekani mwafrika na mzungu kukaa meza moja kutatua changamoto za Tanzania

    Haitakaa hata siku Moja wazungu wakakaa na Watanzania kumsaidia uchumi wa nchi bali watakaa watanzania na wazungu kuua uchumi wa nchi. Kwasababu kama wangekuwa na nia ya kuisaidia Tanzania wangeisaidia siku nyingi sana. Tanzania haiwezi kuwa na uchumi imara kwasababu wananufaika na umasikini na...
  12. K

    Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    Mawazo yangu ya jinsi ya kutatua tatizo la dollar Tanzania 1. Serikali iongee na kampuni za utalii na kuwaomba walete pesa hapa utaratibu wa sasa watalii wanalipia hotel na karibu kila kitu kabla hawajaja kutalii na pesa karibu zote zinabaki kwenye bank za nje 2. EAC tuharakishe kuwa na pesa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Kijaji: Uongozi Mkoa wa Tanga shirikianeni na Taasisi kutatua changamoto za wafanyabiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ameushauri uongozi wa Mkoa wa Tanga kushirikiana na Taasisi husika kutatua changamoto za wanazopata wafanyabiashara wa Jiji la Tanga. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Agosti, 3 2023 alipokua na wafanyabiashara Jijini Tanga kwa lengo la...
  14. Pang Fung Mi

    Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  15. C

    SoC03 Teknolojia tatu muhimu zinazoweza kutusaidia katika kutatua changamoto na kutuletea maendeleo

    TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO. TEKNOLOJIA NI NINI? Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha ya kigiriki “technología“ lenye maana ya maarifa ya ujuzi, sanaa na ufundi yaliyowekwa katika...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa: Tutaendelea kutatua kero zenu bila kuchoka

    "... Tuliingia Mkataba nanyi Wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu baada ya Chama chetu (CCM) kuinadi Ilani ya uchaguzi kwenu. Mkatupa ridhaa, sasa ni wajibu wetu kutatua kero zinazowakabili bila kuchoka. Tunafanya hivyo ukiwa ni wajibu wetu kikatiba na kisheria ndio maana leo kwenye Kata yenu Tumefanya...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Mnaonaje tuwakabidhi wawekezaji kutoka Dubai Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) ili tutatue tatizo la maji?

    Mkoa wa Dar es Salaam, umekumbwa na tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama kwa muda mrefu. Kuongezeka kwa idadi ya watu na ukuaji wa mji umesababisha ongezeko la mahitaji ya maji, huku miundombinu ya zamani ikishindwa kukidhi mahitaji hayo. Katika kusaka suluhisho endelevu, nafasi ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Nchi ya Uswisi Yajitosa Kutatua Changamoto ya Maji Ulanga Morogoro

    AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji...
  19. R

    SoC03 Jinsi application ya simu inavyoweza kutatua tatizo la ajira nchini

    JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION Utangulizi Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la watu hususani vijana ambao huhitimu masomo yao huku nafasi za ajira...
  20. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
Back
Top Bottom