kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

  2. Msaada: Jinsi Kutengeneza tomato paste

    Natumaini mko poa? Natamani kujua jinsi ya kutengeneza tomato paste mwenyew ambayo inaweza kukaa hata wiki bila kuharibika
  3. Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo. Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana...
  4. Natafuta mtaalam wa kutengeneza Apps/ Software

    Je wewe ni mtaalam wa kutengeneza apps/ software? Karibu tuwasiliane. 0687969981 0764255769
  5. Jinsi ya kutengeneza lean

    Niaje wakuu. Nilikuwa naumwa mafua sasa nikanunua zile dawa za maji. Nimepiga kifuniko kimoja tu nikapona. Sasa nkawa nawaza kuliko kutupa hii dawa kwanini nisiinywe kama kilevi/Lean? Kwa wanaojua kutengeneza lean (Lean manufacturing) naombeni maelekezo.
  6. Vidokezo (tips) kwa wanaotaka kujifunzakutengeneza apps

    1. Kwanza kuwa mpole, wala usipanic code zikizinguwa, hii ni kawaida. 2. Usiwaze kutengeneza app kubwa saaanaau yenye mambo mengi mapema. 3. Kutengeneza app ni kama ujenzi, usiwaze saaana kwamba utamaliza lini. 4. Usiwe msiri kuuliza unapokwama na wala usiwe msiri kusaidia wengine. Hata hivyo...
  7. Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Kama umewahi kujaribu kuanzisha biashara wewe mwenyewe utakuwa unaelewa ilivyo ngumu kuanzisha biashara yenye mafanikio. Aina ya biashara unaweza kuanzisha ni nyingi mno, kiasi kwamba wengi huwa hawajui wanaanzia wapi. Tukiongelea creators kama graphics designers, wanapoanza huwa wanakubali kazi...
  8. Apple inaanza kutengeneza iPhone 14 nchini India

    Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China. Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
  9. Nahitaji mjuzi wa kutengeneza application

    Ndugu Wanajamvi Naitaji Kuengenezewa App ya Music itakayolink na Website Yangu. Watu wawe Wana Download
  10. Wanaume tunaongoza kutengeneza wanawake ambao ni tegemezi (malaya)

    Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza kimasomo. Leo cha kustaajabu nimekuja mkoa X kikazi nimekutana nae akiwa anakata mauno hadharani kwenye...
  11. Ukraine watumia ujanja wa kutengeneza HIMARS za mbao, Urusi wanazipiga na kutangaza

    Jameni Mrusi anateswa hadi basi tu, Ukraine wamekua wanatengeneza mifano ya HIMARS za mbao, kisha wanazianika Urusi wanazinyeshea kwa mvua ya mizinga kisha wanatangaza "leo tumelipua HIMARS 20".... Ukraine is reportedly using wooden decoys of advanced US rocket systems to trick Russia into...
  12. L

    SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  13. SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  14. Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

    TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa...
  15. Natafuta mtataalamu wa kutengeneza QR Code zenye taarifa zote muhimu

    Namhitaji mtaalamu ambae nitafanya nae kazi, nitamlipa kwa kila QR Code moja atakayokuwa anaitengeneza. Tafadhali nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
  16. Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

    Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina. Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
  17. Msaada ya kutengeneza jina la biashara

    Habari zenu, Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi. Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote. Jina nilifikiria hili: Isaba General Drinks. Kabla ya julisajili naombeni mawazo ya kuliboresha ila mwanzo kazima jina Isaba...
  18. M

    NBS Mmeshindwaje kutengeneza app yenu ya sensa? Kwa nini mnatumia app ya CSEntry ya USA?

    CSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania. Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu. NBS mlishindwaje kujiandaa...
  19. B

    Njia ya kutengeneza Wateja wa kudumu kwa kutumia 'Business Card' yako katika shughuli ufanyayo

    MUHIMU SOMA🌴🌴🌴🌴🌴 HELLO HABARI YA MUDA HUU BOSS WANGU, JE UMETUMIA KILA MBINU LAKINI HUPATI WATEJA WA KUTOSHA KATIKA BIASHARA YAKO? Basi leo malaika wa Mungu huenda amenileta hapa kwaajili yako, SOMO LA BUSINESS CARD KATIKA KUPATA WATEJA WENGI SANA HAIJALISHI BIASHARA KUBWA AU NDOGO Kwa muda...
  20. Singida Big Stars tunatengeneza timu ya vijana (U20), njoo ufanye majaribio

    Watu wa Soka, Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji. Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au mlete kijana wako, tukiridhika na kiwango tunasajili. Majaribio yatafanyika Jumamosi 30/07/2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…