Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo zitanibana kwa baadae maana ntatumia majina na sura za wachezaji halisi(original)
Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/...
Nadhani ni kama mwaka mmoja sasa umepita kulikuwa na kijana alikuwa hewani kupitia redio mojawapo akasema yuko mbioni kutengeneza metaverse yake (virtual universe). Sijasikia lolote.
Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro.
Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana.
Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
Naomba msaada anayejua mashine ya kutengeneza chapati 200 kwa saa, anisaidie. Nimekuwa nikitumia chapat maker ila Haina uwezo huo, sasa natafuta ya kutengeneza chapati 300 kwa saa.
Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.
Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.
Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amewataka vijana hasa wa kike kutengeneza historia nzuri maishani kwa kujaza nafasi za mbalimbali za uongozi hasa kadri zinavyojitokeza.
Akizungumza na vijana kwenye Hafla ya Ufungaji wa Kambi la Umoja wa Vijana mkoani Katavi iliyofanyika katika...
Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Huwa na waza sana, kwamba ili mtu awe hai ni lazima moyo uendelee kufanya kazi na kusuply damu maeneo yote ya mwili.
Sasa wanasayansi wanashindwa vipi kutengenezea moyo bandia ili usaidiane na moyo halisi, ili itapofika muda moyo halisi umeshindwa kufanya kazi basi moyo bandia unaendelea...
UTANGULIZI:
Elimu-Ni chanzo Cha Cha kuondoa ujinga, na kufanya jamii na mtu mmoja mmoja kuwa na uelewa wa mambo mbalimbali, yakiwemo ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiafya.
UMUHIMU WA ELIMU
I.Elimu inasaidia kuondoa ujinga
II.Inasaidia Kujitambua kama binadamu
iii. Inasaidia kuchochea maendeleo Kwa...
Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.