kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njia 50+ zilizothibitishwa juu ya tabia/tija zimekusanywa ili kutengeneza AI Habit Coach(Akili Bandia Ya kukujenga Kitabia)

    Kwa Kiswahili Prof Bibling amekuwa na tabia/taratibu/tija na amekusanya mbinu zilizothibitishwa za mazoea ya kujenga na kuongeza tija katika kubadilisha tabia. Mbinu hizi zimetoka kwenye vitabu vinavyojulikana kama vile Atomic Habits, Indistractable, Make Time, GTD na vitabu vingine vingi...
  2. BoT yawaonya wanaotumia pesa kutengeneza mashada ya maua ya zawadi

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya matumizi mabaya ya pesa ikiwemo wale wanaotumia pesa hizo kutengeneza mashada na maua kwa ajili ya kuwatunuku wapendwa wao. Akizungumza na Swahili Times, Meneja Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano, Noves Moses amesema pesa inapotumika kufanya shughuli nyingine...
  3. Sponsor wa Mkutano wa COP28 lengo lake ni kutengeneza machawa wengi kwenye nchi mbalimbali

    Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa. Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
  4. T

    Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza. Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke. Kwenu...
  5. Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Mzuka, Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini? Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa). Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
  6. Kutengeneza habari potofu kunaweza kukuweka matatizoni kisheria na kijamii

    Utengenezaji wa taarifa potofu unapingwa katika nchi mbalimbali. Baadhi ya watu katika jamii nyingi wamejikuta matatizoni kwa kuingia vifungoni au kulazimika kulipa fidia kwa sababu ya kutoa taarifa potofu kuhusu watu, kampuni na taasisi mbalimbali. Tanzania, kama nchi nyingine, ina sheria...
  7. Kanuni 50 Za Kukusaidia Kutengeneza Fedha Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo. Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
  8. Hivi kuna Uwezekano wa Serikali tukufu Kutengeneza Skendo yenye kugusa Hisia za watu ili kumkomoa mtu?

    Inawezekana kweli? Yani asubuhi unakuta vyombo vya habari vimepambwa na habari 5 Nyingi "Atuhumiwa Kubaka, Aliyebakwa Asimulia Kilicho tokea" Halafu eti habari hiyo iwe ya uongo yani waitunge ili kukutoa kwenye reli. Mimi siamini kama serikali ina muda huo wewe je?
  9. Kwa nini Wazungu hutumia Uislam kutengeneza magaidi badala ya dini nyingine?

    Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio. Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu. Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili...
  10. B

    Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

    Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
  11. Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
  12. T

    Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
  13. T

    Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  14. Jinsi ya Kutengeneza Credibilty ( Uaminifu katika Biashara)

    Credibility ni muhimu sana katika mafanikio binafsi na kibiashara. Ili uweze kufikia mafanikio, katika muktadha huu, unahitaji kujenga uaminifu na heshima katika jamii au sekta fulani. Ili kujenga mtaji huu wa mafanikio na kujiongezea uaminifu, unaweza kuzingatia mambo yafuatayo: Kufuata...
  15. IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  16. Nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali, hongera Paul Makonda

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema na majukumu yenu ya Ujenzi wa Taifa letu hili tukufu la Tanzania. Kwa wale ambao wanaifahamu Siasa sidhani kama hili la Paul Makonda kuwa Mwenezi wa Chama ni Jipya na la kushangaza kwao. Actually, kama wakisoma alama za nyakati...
  17. CCM acheni siasa za kutengeneza matukio kuficha uovu wenu

    Mmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji. Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi. Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa...
  18. UVCCM tuanzishe miradi ya Kimkakati kutengeneza ajira

    Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu. Kwa kuanzia tunaweza kuanza na, 1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika pakiti, 2. Viwanda vya juice ya matunda, 3. Karakana za ukarabati wa mitambo ya Kilimo na magari...
  19. W

    Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
  20. Jinsi ya Kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka

    Habari za Wakati huu; Uzi huu ni Maalum kwa ajili ya kujadili Namna ambavyo unaweza kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka kulingana na mahali ulipo,Ujuzi na uzoefu wako pamoja na shughuli zako za kiuchumi.Karibuni tujadili kwa pamoja.Nitaweka kwenye Comments Namna mbalimbali kwa kadiri ya Mahali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…