Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme
Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco
Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha
Sasa wameenda na Zimbabwe.
Kwa uzoefu...
Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026.
Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022
Mkurugenzi Mtendaji wa...
Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku
Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?!
Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
Hayati mwendazake aliifahamu vema nguvu ya uma, kuchokwa kwa chama chake na kutopendwa kwa viongozi wa chama chake ndio maana aliamua kibabe sana kukataza mikutano ya kisiasa na mijadala huru ya wananchi...
NGUVU ya uma ni kitu chenye nguvu sana maana ni muunganiko wa roho nyingi zenye nishati...
Wanajamii, kwa mwenye uhitaji wa hizi huduma zifuatazo, anicheki Whatsapp mawasiliano 0676245401:
1) Data Analysis
2) Kupika data
3) Kutengeneza Logo
4) Kutoa ban whatsapp
5) Translation of articles/books/magazines(kutafsiri vitabu,majarida n.k) eng-kisw na kisw-eng
6) Kutengeneza card za...
Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE?
Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
JE INAWEZEKANA?
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoishi maisha ya upweke kwa muda mrefu hivyo starehe yangu kubwa baada ya shughuli zangu za kila siku ama ninapopata nafasi ya kumpumzika ni kusoma vitabu.
Hata kabla ya kuandika ninachotaka kuandika siku ya leo mapajani mwangu nilikuwa nimeshika...
Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
Katika mkakati wa kukuza TEHAMA na Ubunifu nchini, Tanzania imealika kampuni 15 za Misri, huku lengo likiwa kuhakikisha katika miaka michache ijayo, Tanzania itengeneze magari na bajaji za umeme na zisizohitaji dereva.
Akizungumza katika maonyesho ya biashara baina ya wafanyabiashara wa...
Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa
Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi...
17 July 2023,
Washington
Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya...
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location .
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu.
Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao.
Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing.
Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika)
Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima.
Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center.
Nikiwa...
Wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta.
Kiasi kwamba faida nashindwa kuipata kabisa.
Msaada kwa yeyote mwenye kufahamu wapi naweza kupata mafuta haya...
Mrusi kalianzisha, mwenzake anamaliza...
==========
Ukraine is investing in a project to develop its own long-range missile.
Oleksii Reznikov, Minister of Defense of Ukraine, stated about it.
He explained that Ukraine has good prospects for the production of its own long-range missiles with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.