kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

    Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha Sasa wameenda na Zimbabwe. Kwa uzoefu...
  2. L

    China yaweza kutembea kifua mbele na kuingia kwenye ushindani na makampuni ya kutengeneza ndege kama vile Boeing na Airbus

    Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
  3. Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  4. Mwenye ujuzi wa kutengeneza ubuyu

    Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kupika ubuyu naomba anipatie experience kidogo pia na kuhusu vitu gani muhimu vinavyohitajika katika uandaaji wake.
  5. Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa audio msaada please?!...

    Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?! Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
  6. Vuguvugu la kurudisha kadi za CCM watatumbuliwa ma-DC wangapi?

    Hayati mwendazake aliifahamu vema nguvu ya uma, kuchokwa kwa chama chake na kutopendwa kwa viongozi wa chama chake ndio maana aliamua kibabe sana kukataza mikutano ya kisiasa na mijadala huru ya wananchi... NGUVU ya uma ni kitu chenye nguvu sana maana ni muunganiko wa roho nyingi zenye nishati...
  7. Nafanya analysis ya research data, translation ya articles (Eng-Sw; Sw-Eng), kutengeneza card mbalimbali

    Wanajamii, kwa mwenye uhitaji wa hizi huduma zifuatazo, anicheki Whatsapp mawasiliano 0676245401: 1) Data Analysis 2) Kupika data 3) Kutengeneza Logo 4) Kutoa ban whatsapp 5) Translation of articles/books/magazines(kutafsiri vitabu,majarida n.k) eng-kisw na kisw-eng 6) Kutengeneza card za...
  8. Tetesi: Utabiri 1977: Waalimu wa UPE wanaenda kutengeneza Taifa la wajinga na sasa miaka 50 imepita. Je sisi tuna akili au sisi ni wajinga?

    Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE? Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
  9. Mchanga wa kutengeneza maabara

    JE INAWEZEKANA? Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoishi maisha ya upweke kwa muda mrefu hivyo starehe yangu kubwa baada ya shughuli zangu za kila siku ama ninapopata nafasi ya kumpumzika ni kusoma vitabu. Hata kabla ya kuandika ninachotaka kuandika siku ya leo mapajani mwangu nilikuwa nimeshika...
  10. Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
  11. Tanzania kutengeneza magari, bajaji zisizohitaji dereva

    Katika mkakati wa kukuza TEHAMA na Ubunifu nchini, Tanzania imealika kampuni 15 za Misri, huku lengo likiwa kuhakikisha katika miaka michache ijayo, Tanzania itengeneze magari na bajaji za umeme na zisizohitaji dereva. Akizungumza katika maonyesho ya biashara baina ya wafanyabiashara wa...
  12. R

    Wawekezaji baada ya kutengeneza faida lukuki wameamua kutufilisi kwa kufungua kesi huko Mahakama za kimataifa. Wanasheria wetu wanafanya nini?

    Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi...
  13. M

    Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China

    17 July 2023, Washington Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya...
  14. R

    Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

    Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
  15. SoC03 Hizi ndizo fursa zilizopo vyuo vikuu, enyi wanafunzi wa vyuo vikuu tumieni fursa hizi kutengeneza ajira zenu baada ya chuo

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
  16. Nasikia Mkoa wa Pwani unajiandaa kuanza Kutengeneza Simu

    Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu. Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
  17. Njia rahisi ya kutengeneza fedha kwenye jamii yako

    Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao. Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
  18. Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  19. Msaada wa kupata mafuta ya kutengeneza sabuni za miche kwabgharama nafuu

    Wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta. Kiasi kwamba faida nashindwa kuipata kabisa. Msaada kwa yeyote mwenye kufahamu wapi naweza kupata mafuta haya...
  20. Ukraine waanza kutengeneza silaha za masafa marefu

    Mrusi kalianzisha, mwenzake anamaliza... ========== Ukraine is investing in a project to develop its own long-range missile. Oleksii Reznikov, Minister of Defense of Ukraine, stated about it. He explained that Ukraine has good prospects for the production of its own long-range missiles with...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…