kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Kupitia wasanii wa sasa, je tunaenda kutengeneza kizazi cha aina gani hapo baadae na nani awajibike?

     UTANGULIZI Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha. Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni...
  2. Njoo tujifunze namna ya kutengeneza Mobile Apps kwa Flutter

    Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web. Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili...
  3. R

    Bravo TANZLII kwa kutengeneza website yenu ambayo ni user friendly kuliko ya zamani

    Si dhambi kumsifia mtu na kumpa pongezi na hongera kwa kazi nzuri. Website ya TANZLII ya sasa ni user friendly kuliko ya zamani. It is easy to search for whatever information you want that is provided by the website Hapa CJ nakupa tono, ila kwingine bado.
  4. Ussi Salum Pondeza - Tukiimarisha Suma JKT na Kiwanda cha Nyumbu wataweza kutengeneza ajira rasmi na zisizo rasmi

    MBUNGE USSI PONDEZA - TUKIIMARISHA SUMA JKT & KIWANDA CHA NYUMBU WATAWEZA KUTENGENEZA AJIRA Mbunge wa Jimbo la Chumbuni, Mhe. Ussi Salum Pondeza akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyosomwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa bungeni jijini Dodoma amesema...
  5. Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

    Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi. Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu...
  6. Ni wakati sasa kutengeneza maeneo mapya ya kibiashara ili kuiondolea nguvu Kariakoo. Kariakoo ibaki kama mji wa kale

    Serikali inabidi Sasa ifikirie kuunda maeneo mapya ya kibiashara, nje ya kariakoo. Ni ajabu mpaka leo, kariakoo ndio eneo pekee la kibiashara Dar es Salaam, na hicho ndio chanzo cha msongamano mjini. Uwepo mkakati wa makusudi kuwekeza maeneo kama ubungo, kimara, bunju, tegeta kwa kujenga...
  7. J

    Serikali iungwe Mkono Kutengeneza Ajira Milioni 8 Sekta ya Kilimo

    JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira. Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
  8. U

    Namna ya kutengeneza CV kwa urahisi zaidi

    Kwa nini ulipe gharama kubwa kuandika CV, fahamu kuwa unaweza kuandika cv yako kwa urahisi zaidi popote ulipo na ukaipata .Fuata maelekezo. 1. Ingia kwenye tovuti ndogo My professional CV 2. Nenda sehemu pa View web version. 3. Bonyeza CV form 4. Chukua link ya CV yako.Iandike google search 5...
  9. Polisi Mbeya wamkamata Msabila Raulent Leonsia akituhumiwa kutengeneza silaha (gobore) kienyeji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa maliasili – TAWA Pori la Akiba Rungwa, linamshikilia Msabila Raulent Leonsia [48] Mkazi wa Kambi Katoto Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa tuhuma ya kupatikana na silaha – gobore mbili ambazo zimetengenezwa kienyeji. Mtuhumiwa alikamatwa...
  10. Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  11. Nawezaje kutengeneza sukari ya asili? Nikiondoa sukari ya viwandani na Asali?

    Habarini!! Naomba namna ya kutengeneza sukari ya asili.Ukiondoa ya viwandani na asali.
  12. Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

    JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D. Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender. Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
  13. Polisi, TMDA wakamata mtandao wa kutengeneza dawa feki za Binadamu Dar

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki likishirikiana Jeshi la Polisi wanamshikilia William Mwangile anayedaiwa kuzalisha na kusambaza dawa bandia kwa mfumo wa makopo. Mkaguzi wa Dawa wa TMDA, Jafari Mtoro, amesema Mwangile amekamatwa jana Ijumaa Aprili 14, maeneo ya Kipawa...
  14. Bongo usitake kutengenezewa app, bora ununue template na wakufanyie customization.

    Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na...
  15. Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

    Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati. DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
  16. Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  17. E

    Materials za kutengeneza Box za Sabuni

    Habari wana jamii forum. Naomba kupata msaada wa Mawasiliano ya mtu au kiwanda / agent yeyote anayeusika na utengenezaji wa materials za Box kama za kutengeneza cattons za sabuni ya mche. Mfano wa Box. Asante
  18. Inachosha kutengeneza mafolder mengi kwa file moja, software gani nzuri ya kubandika tags kwenye mafaili ili kuondoa usumbufu wa kutengeneza folders

    Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama: Bongo flava, Tanzania 2000s Bongo Records Professor Jay Juma Nature Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili...
  19. Elimu ya darasani haina faida zaidi ya kutengeneza vijana tegemezi

    Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi. Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
  20. Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya. “Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…