Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama mkubwa, uliokuwepo huko Kenya, Katika kipindi chote cha uchaguzi huo.
Muda huu naangalia TV za Kenya...