Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA?


Screenshot_2025-03-21-12-52-41-692_com.android.chrome.jpg

 
Chanzo cha haya yote ni madhara ya viongozi wa Africa kushindwa kujenga uchumi wa nchi zao na kusababisha vijana hawa masikini kuchukua hizi risk kwenda kutafuta maisha Bora.

Kuna kiongozi Africa huku anawaambia wahitimu wa Elimu yaa shahada (degree holder) waende wakasome Elimu ya VETA.
 
Ni wakati sasa vijana wa KiAfrica kuamka baadala ya kuchukua hizi risk na kwenda kupoteza maisha, waitumie hiyo nguvu kupambana na viongozi wajinga huku Africa ili tunadirishe maisha yetu huku na tukienda Ulaya basi tuwe na nguvu ya kiuchumi
 
SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA?


View attachment 3278644
View attachment 3278643
Japo umejaribu kurudia kosa.Bora ifutwe tena.
Maelezo yako hayaambatani na ushahidi wowote juu ya waliofanya au wapi ilifanyika.Na inapatikana kwenye simu zenu nyinyi peke yenu watu wa kueneza ujinga.
 
SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA?


View attachment 3278644
View attachment 3278643
Ndio hawa mnataka tuwaonee huruma wanavyofanyiwa na Israel?
 
Japo umejaribu kurudia kosa.Bora ifutwe tena.
Maelezo yako hayaambatani na ushahidi wowote juu ya waliofanya au wapi ilifanyika.Na inapatikana kwenye simu zenu nyinyi peke yenu watu wa kueneza ujinga.
Unataka ushahidi gani sheikh wangu?hujaona video?hujaona link au lugha inakugonga?unataka ushahidi upi zaidi?umwone sheikh matopetope kwenye video?
 
Ndio hawa mnataka tuwaonee huruma wanavyofanyiwa na Israel?
Hao ni Morocco wale ni Palestine, zinafanana ? Huenda umetumia kigezo cha dini ama uarabu kuwalinganisha tabaka zisikuvue utu wako brother. South Africa ni miongoni mwa Xenophobic countries in Africa je tusiwahurumie waCongo kisa kuna watu weusi wengine kule Africa kusini wanaua watu?? Wahispania waliua mamilioni ya watu kwa kigezo cha dini ya kikristo je tuseme wakristo wote wako hivyo?
Tumia akili kabla hujatoa comment, epuka kufuata mkumbo
 
Back
Top Bottom