Hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya Wabunge wanaojitokeza katika majimbo yao na kuanza kutoa misaada mbalimbali, pia kuna Wanasiasa ambao nao sio Wabunge lakini hawakauki kwenye majimbo.
Wengine wanakuwa mbele ya kamera na hadharani kabisa wanatoa zawadi mbalimbali kwa Wananchi au makundi...